Pre GE2025 Bado sijaona Watu wa kuandamana nchi hii hata wangechukuliwa wake zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnao leta uzi huku na mnao comment ilibid kwanz mutuambie mtakuw njian au ?
 
RC kachagua Tarehe hiyo kama kipimo cha utayari wa Waandamanaji.
Hao Bakabaka sio chochote mbele ya Watu walioamua kudai na kupigania haki zao. Wao wenyewe wanajua hilo.

Bakabaka hutumika kuzuia Watu Fake, wateteaji WA haki wanaoigiza
Wananchi wakifk hatua ya kuandaman kimapinduz ndio hawatoogopa lolote

Ila Tatzo ni sisi wananchi na wala hatuitaji wanasias kwakuw huku tunapoenda ni pagumu sana kulko tulpo toka
 
Wananchi wakifk hatua ya kuandaman kimapinduz ndio hawatoogopa lolote

Ila Tatzo ni sisi wananchi na wala hatuitaji wanasias kwakuw huku tunapoenda ni pagumu sana kulko tulpo toka
Hapo sawa...

Ila haya maandamano ya wanasiasa hayaeleweki

Ova
 
Alafu wewe unakadi moja ya chama chako alafu umeamriwa uandamane alafu hautaandamana.

Hapo utasemaje?
Unajua demokrasia siyo udikteta. Unahitaji shule kubwa ya demokrasia upanue uelewa wako. Maswali yako yanaonesha dhahiri jinsi huelewi demokrasia inafanya kazi. Hata kama ukiwa mwanachama hai unaweza ukakata kuandamana ni moja ya sifa ya kuwa mwanademokrasia unakuwa mtu huru kimawazo na kimatendo.
 
Mimi hua na kauli moja ccm waendeleee kutukaba koo, mpaka wote tukija tambua maandamano ni kwa faida yetu wananchi, kushinikiza mabadiliko.


Sasa nikiona kauli
"mpaka waje na familia zao "
Hua nasema akili bado haijakomaa kwani haya maandamano ya familia zao?

Wewe mwananchi umeguswa na unataka mabadili itikia wito
 
Changamoto nyingine ni reason za CHADEMA, wangesema wanaaandamana kwa sababu zinazogusa mwananchi mmoja mmoja watu wangeamka japo kidogo, ila sio wabongo waandamane kisa tume huru ya uchaguzi ambayo 97% ya raia hawaijui vizuri,

Ila waambie waandamane kwa sababu sukari na mafuta yapo juu hapo ungewaelewa watu
 

Hatari sana
 

Mpaka wote damu zitoke puani
 
Reactions: Lax

Demokrasia ni ushawishi.
Kama umeshindwa kumshawishi mtu aandamane kwa nini aandamane?
 
HUWEZI KUWAONA KWANI WATANZANIA WENGI NI WAJINGA SANA AFADHALI HATA HAO WANATAMKA KUANDAMANA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
kuna watu walikuwa wanasema mbona Mbowe yupo kimya haya sasa keshasema maisha ni magumu sukari kilo 5000.
Wewe huna uwezo wa kujua kuwa sukari inavyouzwa kilo tsh 5000 kuwa maisha ni magumu hadi uambiwe na Mbowe? Hata ugumu wa maisha hamuujui Sasa mtaandamanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…