Pre GE2025 Bado sijaona Watu wa kuandamana nchi hii hata wangechukuliwa wake zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa uoga uliojaa hapa nchini, sioni wa kuandamana kwa sasa. Kikubwa tunachoweza ni kuzira ama kususia na kupuliza, sio maandamano.

Kwa sababu watanzania ni Watu wanashida lakini wanajifanya hawana
 
Mbowe alifungwa miezi 7 eti gaidi na hakuna hata mke mmoja wa Mbowe aliandamana, Sasa huyu aliyefungwa kwa uonevu chadema wakamwacha miezi 7 leo anasema watu waandamane ili sijui iweje? Nani atamsikiliza?
 
Mbona watu waliandamana kwa ajili ya NCCR, CUF na chadema ya Slaa ulikuwa hujazaliwa? Ni muda kamati za Chadema kuwaita wanachama hai kutimiza majukumu yao kwa chama na Nchi.
Aliyewasambararisha hakua polisi Bali wao wenyewe walipoanza kuuza vyama
 
Wameshindwa kuandamana kwa sababu ya matatizo yako direct(kupanda gharama za maisha,umeme nk) wataandamana kwa sababu ya sheria?! Aaah wapi
 
Umesahau?
CUF ile og ya Lipumba iliweza tena mara nyingi tu mpk alivunjwa mkono

Pia Shekh aliweza sana tu

Ila hawa wengine mmmm...
Ht mm kweli sioni. Hawa wana vitu vya thamani zaidi kwao kuliko hizo haki na hawako tayari kupoteza maslahi yao
 
Vitu vya thamani zaidi kuliko Haki
 
Acha hizo,

Mbona Kwenye mechi za Simba na Yanga huandanamana watu wale wale?

So ikiwa imewezekana kwenye sports,kwann udhani kuwa Haiwezekani kwenye siasa?

Tusikarikri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…