Mie sihitaji.Fungua PM yako nikutongoze
Kitoweo uje nacho tafadhaliAndaa chai na kitoweo maana leo jioni imenipasa kuwa mgeni wako PM😇😀
Team selective [emoji6]Tatizo mnachagua sana yaani humu kupata mme ni kazi
Damn man you are killing him [emoji38][emoji38]Ushafyata mkia wakati demi kaja ili umfuate pm muyajenge ww unakimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata usipomuwish good day nigger girl already have better day than yours
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok ,,mfate jamaa pm ako na nia ya dhati, mtapeana details zenu, ikimpendeza M/Mungu mnaweza kuwa mume n mke !Wengine hapa tumewatumia sana men picha hadi naogopa mwisho wa siku waniloge kwa hizo picha
Wewe si umeng'ang'ana na makabila as if unatafuta mtu wa kufanya matambiko!😁.Wengine hapa tumewatumia sana men picha hadi naogopa mwisho wa siku waniloge kwa hizo picha
Sio kabila tu nina miaka 2 humu natafuta mmeWewe si umeng'ang'ana na makabila as if unatafuta mtu wa kufanya matambiko![emoji16].
Badilisha jina liwe ummmm ili nimalizie me iwe ummmm and me unganisha inakuwa ummmmme "jokes bana" [emoji1787][emoji1787] kwani mtaani hawapo au kanisaniSio kabila tu nina miaka 2 humu natafuta mme
MmmhTatizo mnachagua sana yaani humu kupata mme ni kazi
Naomba njoo PMWengine hapa tumewatumia sana men picha hadi naogopa mwisho wa siku waniloge kwa hizo picha
🤣🤣🤣🤣 aseee!Wewe si umeng'ang'ana na makabila as if unatafuta mtu wa kufanya matambiko!😁.
Powa za kwako
[emoji1787]dahWewe si umeng'ang'ana na makabila as if unatafuta mtu wa kufanya matambiko![emoji16].
744771115Habari za majukumu,
Nimewah Kupost hapa kutafuta Mwenza lakini bado sijapata na naendelea kuwa mpweke wa mahusiano.
Mimi ni mwanaume wa miaka 35, mferu kiasi sio mnene sio mwembamba, nafanya biashara za kawaida na naishi maisha ya kawaida.
Najua kupenda na napenda kupendwa pia,
Nitafurah kupata Mwenza hapa, sichagui umri, dini wala kabila lakini cha muhimu awe anajitambua, smart na mkweli, nitafurahi Sana nikipata mke, lakini Kwa sasa nilivyo mpweke hata asiyetaka kuolewa tunaweza ungana tukawa pamoja.
Naomba Kwa aliye serious PM yangu ipo wazi karibu tufahamiane zaidi.