Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mie sihitaji.Fungua PM yako nikutongoze
Jenga urafiki na mabinti, quote na kulike comments zao utashtukia umepata marafiki wengi na kwenye urafiki ndo utajua yupi anakufaa.
Hili ni bango lako la pili na bado utaendelea kuweka mabango ya kutafuta mke.
Halafu pia wapo wanawake wamefanya kama wewe wanatafuta waume. Jaribu kuanza na hao.