Bado sijapata mwenza

Bado sijapata mwenza

Fungua PM yako nikutongoze
Mie sihitaji.

Jenga urafiki na mabinti, quote na kulike comments zao utashtukia umepata marafiki wengi na kwenye urafiki ndo utajua yupi anakufaa.
Hili ni bango lako la pili na bado utaendelea kuweka mabango ya kutafuta mke.

Halafu pia wapo wanawake wamefanya kama wewe wanatafuta waume. Jaribu kuanza na hao.
 
Wengine hapa tumewatumia sana men picha hadi naogopa mwisho wa siku waniloge kwa hizo picha
Ok ,,mfate jamaa pm ako na nia ya dhati, mtapeana details zenu, ikimpendeza M/Mungu mnaweza kuwa mume n mke !
 
Sio kabila tu nina miaka 2 humu natafuta mme
Badilisha jina liwe ummmm ili nimalizie me iwe ummmm and me unganisha inakuwa ummmmme "jokes bana" [emoji1787][emoji1787] kwani mtaani hawapo au kanisani
 
Habari za majukumu,
Nimewah Kupost hapa kutafuta Mwenza lakini bado sijapata na naendelea kuwa mpweke wa mahusiano.
Mimi ni mwanaume wa miaka 35, mferu kiasi sio mnene sio mwembamba, nafanya biashara za kawaida na naishi maisha ya kawaida.
Najua kupenda na napenda kupendwa pia,

Nitafurah kupata Mwenza hapa, sichagui umri, dini wala kabila lakini cha muhimu awe anajitambua, smart na mkweli, nitafurahi Sana nikipata mke, lakini Kwa sasa nilivyo mpweke hata asiyetaka kuolewa tunaweza ungana tukawa pamoja.

Naomba Kwa aliye serious PM yangu ipo wazi karibu tufahamiane zaidi.
744771115
 
Back
Top Bottom