Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Wakuu Mbona Mshahara wa mwezi June umeenda haraka hivi? Mpaka Sasa balance inasoma zero Wakuu na kitaa kigumu Sana na majukumu yamenizidia sijui nifanyeje sijui hapa kama Kuna mdau Wowote anaweza kunikopesha halafu zile tarehe zetu zikifika tutamalizana tu Wakuu
Nakuambia mshahara ulipoingia tu Kwanza ulikatwa juu kwa juu,na pia Kuna kamchepuko alikuwa na bajeti yake, plus kuweka heshima bar kwwnye mambo yetu Yale ya kamnywesho, plus Madada Poa wa morogoro,club Za hapa morogoro na kuponda Mali kwa kwenda mbele
Hapa sielewi Wakuu sina Hili wala lile mambo yametight Wakuu kweli Huu ujana Maji ya moto aisee ila bwana Huu Ndiyo mwezi wa mwisho sifanyi Ujinga tena maana unaweza kufa masikini hivi hivi unajiona