Bado siku 26 tupate Mshahara wa mwezi july,maana mashahara WA June umeenda haraka sio Poa na kitaa Hali si hali

Financial education ni tatizo kubwa kwa WAAJIRIWA wengi sana.
 
ni mshahara wa June na June yenyewe sindo hii inaisha kesho kutwa kwahiyo umetumika kwa muda muafaka kabisa.

Nenda kwa Mangi kopa mchele na maharage weka geto seat back relax maisha ni haya haya
Ushauri huu nakupa nikiwa nimepewa mezani liko Jagger Master na malaya wa riverside anapeti peti.
Potelea mbali laki si pesa mshahara kitu gani😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…