Bado siku 3 mahari itoke nipo njia panda

Bado siku 3 mahari itoke nipo njia panda

Kwanza huyo mwanamke hafai kuolewa maana yake sasa hapendi kuona jamaa anawasaidia ndugu zake,hili tatizo lipo sna kwa wanawake wao wanafikiri kwamba kusaidia upande wa kwako km unapoteza ila upande wa kwao angefurahi sidhani kma angeanzisha humu UPUMBAF KMA HUU.
NB:KWA DALILI HIZO TU HAFAU KUWA MKE,HUYO ANAPEWA MATUNZO SEMA ANAROHO MBAYA
 
Hii Roho ya tamaa inawatesa sana dada zetu. Unasita kuolewa kwasababu hupewi hela? Mshahara wako unafanyia kazi gani.

Jitahidini kuchanganua vitu vya msingi basi kwenye vichwa vyenu!!
Anaanza kuleta majivuno amesahau ye ni single mother. Uyo jamaa anajua kwanini arudisha fadhila kwao yawezekana asingekuwa hapo alipo bila wazazi wake kumsaidia. Pia yawezekana amesomeshewa Mali zote za familia Yao na kuwaacha maskini wazazi wake. Wadada acheni roho mbaya mtachomwa Moto wa milele
 
wanawake sijui mnataka nini....pesa nyie, ndoa nyie........mwanamke kazi unayo lkn pesa zako zako mwenyewe......"HAMUELEWEKI"
 
Kifupi tu, shosti yako anataka apewe hela!

Mwambie awe makini, siku si nyingi atahama kutoka kwenye single mother mpaka kua a single mother of two or three!
Umeongea makingereza moja ya kejeli sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inawezekana huo uvumilivu ndio umemfanya jamaa akatoe mahari na inawezekana jamaa ameshamaliza kuhudumia kwao vitu muhimu akaona umefika muda wa kuanzisha familia!Kweli Mwalimu wao kipofu
BTW naona kama huyo dada ni wewe
Aise umegundua itakuwa dada mwenyewe ni yeye.
Tricky af
 
Upuuzi mtupu..mapenzi yamekuwa biashara..na unaweza kukuta huyo binti anakazi na mshahara na hana wategemezi wengi kama mwanaume anavyokuwa nao..
Na ndivyo ilivyo kwa bidada
 
Ana bahati sana kupata mwanaume anakuoa ukiwa na mtoto ??? inabidi ashukuru sana
 
Umemshauri vizuri. Akubali tu aolewe na ajifunze kutumie hela zake kununua hivo vitu anavyotaka. Kwani amekwambia wakati analia ubahili wa mchumba wake, yeye huyo mama hela yake huwa anaifanyia nini? Huenda yeye ndiye kamfundisha kaka wa watu tabia hiyo ambayo kwake yeye anaiona mbaya!! Wanawake wengi wako hivo, tena kama huyo mwenye mtoto tayari ndo hatari zaidi - hela zao wanaendeleza kwao au wanafanyia miradi yao binafsi na siyo ya familia lakini hawataki waume zao wafanye hivo hivo kwao. Kwani sisi wanaume hatuna memories kwa wazazi/ndugu zetu? Zama zimebadilika, kama ke ana kipato siyo mbaya kusaidia kiasi flani wazazi na ndugu kwao lakini pia achangie kwenye familia yake na hasiwe mtu wa kulalama inapotokea me naye akasaidia kwao. Ebo hata siye wanaume tunawapenda na tuna hisia na wazazi na ndugu zetu.
 
Sasa kama anapeleka kwao tatizo liko wapi?
Pengine jamaa priority yake ya kwanza ni kumalizana na kwao then apambane na kwake BTW hawezi kupeleka pesa kwao miaka yooote, itafikia muda wa kupatengeneza kwake. Tell that single mother to be patient.
 
Huyo ndio mwanaume was kweli. Peleka maendeleo kwenu...mke no wakugegedwa tuu.
 
Sasa kama anapeleka kwao tatizo liko wapi?
Pengine jamaa priority yake ya kwanza ni kumalizana na kwao then apambane na kwake BTW hawezi kupeleka pesa kwao miaka yooote, itafikia muda wa kupatengeneza kwake. Tell that single mother to be patient.
Umenena mkuuu..lazima ushukuru Kwanza home ndio uanze kujijenga wee na mkeo. Tafizo mijamke yenyewe hii tamaa ya mihela mbele na kushindwa kutambua Maisha yanaendaje. Mike ndio maana nasema dawa yai no kuwagegeda tuu
 
Ushauri plz
naituma kama nilivyopokea bint anaitaji ushauri bado Siku 3 tu afanye uamuzi wa maisha yake,,,,
Dada ana 29yrs anamtoto 1 alizaa na mwanaume ila alishafariki
2017,, alikutana na mkaka wakaanza mahusiano ya mapenz mpaka kufikia uchumba. lkn kipindi chote hicho bidada analalamika tu mpenz wake uyo mbahir hamjal bidada lkn bidada amekua anavumilia akiamini jamaa anaweza badilika wameenda wee mpaka jmos hii nisiku ya kutoa mahari sasa bint anawaza afanyeje? Kinachomuwazisha hint ni hiki
1) jamaaa hata kipata million 10 sasa hv cha kwanza atakachowaza anunue kipi apeleke kwao sio kwa ajir yake mwanaume au kwa ajir yao
2) wamekua wakipanga wanunue vitu kadhaa kwa ajir yao kama kununua furniture , vitu mbalimbali wanapanga vizuri lkn Sikh ikifika jamaa hela anapeleka kwao

3) jamaa nimpole, sio mgomvi,,, kwa wanawake hayumo tatizo hana future yake yeye na mkewe mtarajiwa yeye anafuture na kutengeneza kwao

Binafsi nimemshauri apambane tu kikubwa kwa vile bidada nae anakikaz chake angalau kinamwingizia hela kidogo aaachane na hela za jamaa akae nae akiona miaka inaenda hakuna maendeleo aondoke
Sijui nyie wadau mnaonaje!!

Chukua nywele,kucha au manii zipeleke kwa mganga akufanyie Libwata awe anachomoa hela tu na kukupa wewe hizo mil 10.
 
1. Muhusika ni WEWE na sio shosti yako.

2. Hivi mlilogezewa kwenye hela? Muache ahudumie wazazi wake.

3. Mimi akili yangu inafanana na ya huyo mchumba wako. Nikipata 10m sasa hivi, cha kwanza nitafikiria Nyumbani kwetu /wazazi wangu kwanza.

Nikimalizana nao, ndio nitafikiria kuhusu Mimi na wewe Sasa.

Maisha ni PRIORITIES. Priority yake kwa sasa ni Kutengeneza kwao, akimaliza hilo ndio atakuja kwenye mambo yake/yenu.
 
Last edited:
Umenena mkuuu..lazima ushukuru Kwanza home ndio uanze kujijenga wee na mkeo. Tafizo mijamke yenyewe hii tamaa ya mihela mbele na kushindwa kutambua Maisha yanaendaje. Mike ndio maana nasema dawa yai no kuwagegeda tuu
Mkuu hawa watu wakiona unatengeneza kwenu tayari hapo ni tatizo, hawajui watu tumetoka wapi.
 
Back
Top Bottom