Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Awe mpole kwani asipompa hela ndio kigezo cha kuwa hampendi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaanza kuleta majivuno amesahau ye ni single mother. Uyo jamaa anajua kwanini arudisha fadhila kwao yawezekana asingekuwa hapo alipo bila wazazi wake kumsaidia. Pia yawezekana amesomeshewa Mali zote za familia Yao na kuwaacha maskini wazazi wake. Wadada acheni roho mbaya mtachomwa Moto wa mileleHii Roho ya tamaa inawatesa sana dada zetu. Unasita kuolewa kwasababu hupewi hela? Mshahara wako unafanyia kazi gani.
Jitahidini kuchanganua vitu vya msingi basi kwenye vichwa vyenu!!
Umeongea makingereza moja ya kejeli sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kifupi tu, shosti yako anataka apewe hela!
Mwambie awe makini, siku si nyingi atahama kutoka kwenye single mother mpaka kua a single mother of two or three!
Unamtafuta nani mkuu!Namtafuta sana mkuu ukimuona unishtue
Aise umegundua itakuwa dada mwenyewe ni yeye.Inawezekana huo uvumilivu ndio umemfanya jamaa akatoe mahari na inawezekana jamaa ameshamaliza kuhudumia kwao vitu muhimu akaona umefika muda wa kuanzisha familia!Kweli Mwalimu wao kipofu
BTW naona kama huyo dada ni wewe
Na ndivyo ilivyo kwa bidadaUpuuzi mtupu..mapenzi yamekuwa biashara..na unaweza kukuta huyo binti anakazi na mshahara na hana wategemezi wengi kama mwanaume anavyokuwa nao..
Unafikir ikiwa Mimi nitaogopa kusema ? kuna mtu ananidai ?Aise umegundua itakuwa dada mwenyewe ni yeye.
Tricky af
Umenena mkuuu..lazima ushukuru Kwanza home ndio uanze kujijenga wee na mkeo. Tafizo mijamke yenyewe hii tamaa ya mihela mbele na kushindwa kutambua Maisha yanaendaje. Mike ndio maana nasema dawa yai no kuwagegeda tuuSasa kama anapeleka kwao tatizo liko wapi?
Pengine jamaa priority yake ya kwanza ni kumalizana na kwao then apambane na kwake BTW hawezi kupeleka pesa kwao miaka yooote, itafikia muda wa kupatengeneza kwake. Tell that single mother to be patient.
Ushauri plz
naituma kama nilivyopokea bint anaitaji ushauri bado Siku 3 tu afanye uamuzi wa maisha yake,,,,
Dada ana 29yrs anamtoto 1 alizaa na mwanaume ila alishafariki
2017,, alikutana na mkaka wakaanza mahusiano ya mapenz mpaka kufikia uchumba. lkn kipindi chote hicho bidada analalamika tu mpenz wake uyo mbahir hamjal bidada lkn bidada amekua anavumilia akiamini jamaa anaweza badilika wameenda wee mpaka jmos hii nisiku ya kutoa mahari sasa bint anawaza afanyeje? Kinachomuwazisha hint ni hiki
1) jamaaa hata kipata million 10 sasa hv cha kwanza atakachowaza anunue kipi apeleke kwao sio kwa ajir yake mwanaume au kwa ajir yao
2) wamekua wakipanga wanunue vitu kadhaa kwa ajir yao kama kununua furniture , vitu mbalimbali wanapanga vizuri lkn Sikh ikifika jamaa hela anapeleka kwao
3) jamaa nimpole, sio mgomvi,,, kwa wanawake hayumo tatizo hana future yake yeye na mkewe mtarajiwa yeye anafuture na kutengeneza kwao
Binafsi nimemshauri apambane tu kikubwa kwa vile bidada nae anakikaz chake angalau kinamwingizia hela kidogo aaachane na hela za jamaa akae nae akiona miaka inaenda hakuna maendeleo aondoke
Sijui nyie wadau mnaonaje!!
Mkuu hawa watu wakiona unatengeneza kwenu tayari hapo ni tatizo, hawajui watu tumetoka wapi.Umenena mkuuu..lazima ushukuru Kwanza home ndio uanze kujijenga wee na mkeo. Tafizo mijamke yenyewe hii tamaa ya mihela mbele na kushindwa kutambua Maisha yanaendaje. Mike ndio maana nasema dawa yai no kuwagegeda tuu