Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,


Uliwaza vizuri kuweka kumbukumbu maana wanasiasa wetu wameshatuona wasahaulifu kila siku wanaleta kisa kipya kutusahaulisha yaliyopita. Ukianzisha uzi wa ahadi zisizotekelezwa itakuwa poa
 
Afadhali wasogeze mbele hadi 2025 mwezi wa tano, kwa yale mabehewa waliyoleta na hata hayo yajayo itakuwa kichekesho juu ya miundombinu ya reli ya kisasa. 😎
 
Mkubali ama mkatae, angekuepo aliyeasisi ujenzi wa SGR saizi dar to moro tungekua tumeanza kutumia huo usafiri.
Kweli kabisa huyu mzanzibar huyu huwa namuona hana uchungu wowote anapambwa tu na walamba asali
 
Kiukweli sioni faida kubwa saana ya huu mradi hasa ukizingatia gharama zake zinazopanda kila siku, ukifananisha na wa bwawa la umeme nyerere

Hiyo ni kwa nionavyo mimi.....
 
Back
Top Bottom