Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,

Angekuwepo Chuma labda. Hawa kaulegeza tutasubiri sana chuma kutembea
 
Back
Top Bottom