Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 May 31, 2023 #21 Karne said: Hiyo treni kufanya safari yake ya kwanza full Dar-Mwanza inaweza kuwa 2030 pengine. Click to expand... Shabiby, Msukuma, Abood, Ndugai wote wana mabasi mapya no E unategemea nini?
Karne said: Hiyo treni kufanya safari yake ya kwanza full Dar-Mwanza inaweza kuwa 2030 pengine. Click to expand... Shabiby, Msukuma, Abood, Ndugai wote wana mabasi mapya no E unategemea nini?
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 7,704 Reaction score 9,186 May 31, 2023 #22 Karne said: Hiyo treni kufanya safari yake ya kwanza full Dar-Mwanza inaweza kuwa 2030 pengine. Click to expand... na ole wao watakaopanda kwa siku zile za majaribio sina imani na hawa ccm
Karne said: Hiyo treni kufanya safari yake ya kwanza full Dar-Mwanza inaweza kuwa 2030 pengine. Click to expand... na ole wao watakaopanda kwa siku zile za majaribio sina imani na hawa ccm
Zacht JF-Expert Member Joined Jul 17, 2020 Posts 1,026 Reaction score 2,266 May 31, 2023 Thread starter #23 Mnafiki Wa Kujitegemea said: Hapo sasa! Click to expand... "...zinatarajia kuanza mwezi Mei mwaka huu...."
Mnafiki Wa Kujitegemea said: Hapo sasa! Click to expand... "...zinatarajia kuanza mwezi Mei mwaka huu...."
Lihakanga JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 4,823 Reaction score 6,416 May 31, 2023 #24 Zacht said: Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo, Click to expand... Angekuwepo Chuma labda. Hawa kaulegeza tutasubiri sana chuma kutembea
Zacht said: Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo, Click to expand... Angekuwepo Chuma labda. Hawa kaulegeza tutasubiri sana chuma kutembea
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Jun 1, 2023 #25 Zacht said: Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo, Click to expand... Hahahahahah, daaaah, hapa wanaongoza manyumbu, sio binadamu
Zacht said: Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo, Click to expand... Hahahahahah, daaaah, hapa wanaongoza manyumbu, sio binadamu