Bado siku mbili tu za rehema kwa watesi wa Lissu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Hello!
Mpaka keshokutwa saa 5 na dk 59 usiku au 23:59 tarehe 20, Aprili kama Lissu hataachiwa nitafunga mlango wa rehema kwa watesi wake. Nitaufunga kabisa na hautafunguliwa tena.

Kama Lissu amefanya uhaini kwa Taifa hili basi hukumu ya Mungu itaenda kwake ndani ya hizo siku 7 lakini haki ya Mungu itasimama sawia.

Ifike mahali ijulikane kuwa yuko Mungu Tanzania hii . Sio wahuni wachache waweze kuichezea vile waonavyo.
 
7 April ama 7 May
 
Tatizo tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo iliandaliwa kuto kuhoji, ukihoji mifumo kandamizi unaambiwa ni haini muasi wa mifumo wanayoitaka wao,(kikundi)

Taifa ambalo limekubali kutumia mfumo kandamizi wa unyumbu wa kisiasa ambao ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi hata uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Iyo ndo inaitwa skanka haijawai kudanganya ndugu mwamuzi .
Usiwe unavutia chooni.
 
Hello!
Mpaka keshokutwa saa 5 na dk 59 usiku au 23:59 tarehe 20, Aprili kama Lissu hataachiwa nitafunga mlango wa rehema kwa watesi wake. Nitaufunga kabisa na hautafunguliwa tena.

Kama Lissu amefanya uhaini kwa Taifa hili basi hukumu ya Mungu itaenda kwake ndani ya hizo siku 7 lakini haki ya Mungu itasimama sawia.

Ifike mahali ijulikane kuwa yuko Mungu Tanzania hii . Sio wahuni wachache waweze kuichezea vile waonavyo.
kwamba ndio unamtetea mropokaji kibaka na tapeli wa kisiasa kizembe hivyo gentleman?

it's not fair and completely not okay but nonsense 🐒
 
Hili mmaliweza. Lakini eti kukinukisha mtaani hadi Lissu aachiliwe,hilo HAMUWEZI ABADAN!!
 
Hello!
Mpaka keshokutwa saa 5 na dk 59 usiku au 23:59 tarehe 20, Aprili kama Lissu hataachiwa nitafunga mlango wa rehema kwa watesi wake. Nitaufunga kabisa na hautafunguliwa tena.

Kama Lissu amefanya uhaini kwa Taifa hili basi hukumu ya Mungu itaenda kwake ndani ya hizo siku 7 lakini haki ya Mungu itasimama sawia.

Ifike mahali ijulikane kuwa yuko Mungu Tanzania hii . Sio wahuni wachache waweze kuichezea vile waonavyo.
Mapenzi ya Mungu yatimizwe
 
Kwa mamalaka gani unayanena hayo, na ni nani aliyekupa mamalaka hayo?
 
kwamba ndio unamtetea mropokaji kibaka na tapeli wa kisiasa kizembe hivyo gentleman?

it's not fair and completely not okay but nonsense 🐒
Hivi Lissu akiwa kibaka na anayeuza rasilimali za inchi kwa Waarabu tumuitaje?
 
Back
Top Bottom