Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kumbe
Tume haipigi kura ccm itapigwa na tume yake yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tume haipigi kura ccm itapigwa na tume yake yote
Akili za watz zimefunguka ishukuriwe corona imezuia kutopumbazwa kwa akili za watz kutokana na Moshi wa mwenge
Sasa kama tume ni ya ccm wapinzani si mgomee chaguzi zote. Hamueleweki mara nyerere aliwavusha vizuri,mara mkapa jiniasi etc ila mnahesabu miaka yote 60 daah
Mkuu unazidi kumwaga chumvi kwenye kidonda kibichiNimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.
Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama 'kituo cha polisi', CCM hawajafanya kampeni zozote za maana huu mwaka...
Umeshashiba Makande. Ccm inashinda vipi?Ndio Akili za Wajinga zilivyo Kutwa kudanganyana na Wajinga wenzie Wakifuata Upepo
Endeleeni Kulisha matango poli
Kumbe issue ilikuwa mwemge😁Ccm bila mbio za mwenge ni lzm ilale mapema, vijijini ndo walikuwa wakituangusha wamjini, lkn vijijini ndo kumekucha kuliko mjini
Toka zamani ccm ilikuwa inahinda kwa wizi. Awamu hii tumekaba kila kona kila njama wanazojaribu zinafeli kabla hazijaanza. Sioni namna CCM itashindaCcm imezoea kushinda kwa hila. Na mwaka huu inaonekana Kuna kundi within the system limejipanga kweli kushinda na kupangua izo hila zote.
Kwa kura za kawaida, hakuna namna Ccm watashinda mwaka huu, kwa hila watu wanejipanga kuliko kawaida...
Ashukuriwe magufuli kwa kuibamiza corona
Tarehe 28 October 2020 ifike tu ili tuache kusikia hizi ndoto zisizoweza kutimilika. Tuendelee na maisha halisi.Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.
Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama 'kituo cha polisi', CCM hawajafanya kampeni zozote za maana huu mwaka...
Hawakujua tatizo. Yaani jamaa alitaka sifa za covid akasahau kipigo cha Lissu badae. Alidanganywa na wapiga makofi kuwa anakubalika. Wananchi wanachomfanyia hana amani kabisa.Kwa njia halali mkuu. Ingetaka njia haramu wangetumia Covid19 kama kisingizio cha kuhairisha uchaguzi na kuchakachua njia zote za uchaguzi
Vipi Huko umeshashiba Makande??Mwambieni kibaraka wenu kampikie chai amterdam
Ye mwenyewe alikimbia corona 2 monthHuu ni uongo mtupu Nchi nyingi za kiafrika COVID19 haikuwa na athari kubwa kama Western countries na huko huyo anayejiita MWENDAWAZIMU hakutia mguu kwenda kuibamiza.
Ulichovuta au kunywa usirudie tena mkuu, inaonekana kama umekunywa embalming fluid cocktail..Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.
Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama 'kituo cha polisi', CCM hawajafanya kampeni zozote za maana huu mwaka...
Toka zamani ccm ilikuwa inahinda kwa wizi. Awamu hii tumekaba kila kona kila njama wanazojaribu zinafeli kabla hazijaanza. Sioni namna CCM itashinda
Hawa jamaa wanajipanga kufanya vurugu. Nakwambia vurugu fanyeni kwingine siyo kwa serikali ya sasa.Unaposema CCM itashindwa uwe na facts ! Kwa vigezo vipi ishindwe ?ccm ina wanachama wapiga kura takriban 15 M ! Wanashindwa vipi?! Mnapeana matumaini bure tu humu! Kila kona ya nchi hii kuanzia kwenye mashina huko ccm wapo tele! Wanashindwaje uchaguzi!. Chama cha kukitoa ccm madarakani bado hakipo! TUSIDANGANYANE!