Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikolalia ewe ndio walikoamkia wenzako! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.
Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama 'kituo cha polisi', CCM hawajafanya kampeni zozote za maana huu mwaka...
Angalau mnafahamu nani ni shetani.Kabisa Mkuu dhuluma haijawahi kushinda HAKI
Hata msemaji wa Sadam Hussein hadi anakamatwa alikuwa anatangaza kwamba vijito vya Iraqi vinatiririka damu za Askari wa Marekani.Bado hajatokea wa kuiangusha CCM.
Zaidi ya nusu ya hao unaoita wapiga kura wa CCM hawataichagua CCM. Tatizo mlipumbazwa na uongo wa Polepole na Bashiru kwa kununua wapinzani uchwara mkaamini Chadema imekufa. Hivi yale makelele anayopiga meko unafikiri yanasababishwa na nini?Unaposema CCM itashindwa uwe na facts ! Kwa vigezo vipi ishindwe ?ccm ina wanachama wapiga kura takriban 15 M ! Wanashindwa vipi?! Mnapeana matumaini bure tu humu!
Kila kona ya nchi hii kuanzia kwenye mashina huko ccm wapo tele! Wanashindwaje uchaguzi!. Chama cha kukitoa ccm madarakani bado hakipo! TUSIDANGANYANE!
Cannabis haijawahi kumuacha salama mtumiajiSubiri tarehe 28 tukuonyeshe, ndio utajua kwa nini Magufuli aliwahi kuitwa Bulldozer aka tinga tinga
Hata msemaji wa Sadam Hussein hadi anakamatwa alikuwa anatangaza kwamba vijito vya Iraqi vinatiririka damu za Askari wa Marekani.
Mkapa naye alikuwa ni fisadi na mwizi tu. Na hata Nyerere aliposema hadharani kwamba ccm si mama yake aliyekuwa madarakani ni Mkapa na wakati ule maccm hawakuwa na hali mbaya kama miaka iliyofuata hadi Kikwete kuja na kauli ya kulivua gamba na kisha kusema hadharani ccm kuna MAFISI. Hivi sasa hata sumu maccm wanatiliana wenyewe kwa wenyewe achilia mbali mauaji yao dhidi ya wapinzani kupitia watu wasiojulikana.
Msome vizuri utaelewa.anasema haohao wanachama Wa ccm ndio watakaoiangusha hiyo ccm.Unaposema CCM itashindwa uwe na facts ! Kwa vigezo vipi ishindwe ?ccm ina wanachama wapiga kura takriban 15 M ! Wanashindwa vipi?! Mnapeana matumaini bure tu humu!
Kila kona ya nchi hii kuanzia kwenye mashina huko ccm wapo tele! Wanashindwaje uchaguzi!. Chama cha kukitoa ccm madarakani bado hakipo! TUSIDANGANYANE!
Hawa wanajifurahisha tu kabla ya uchaguzi. Subiri uone comments zao baada ya uchaguzi. Utafikiri sio wao waliokuwa wanaaandika wanayoandika leo.Bado hajatokea wa kuiangusha CCM.
Naona unafaa sana kuwa msemaji wa Timu ya mpira au Mashindano ya Ngumi kwani msimamo ni kusimamia ushindi, hakuna kukata tamaa hadi kipenga cha mwisho...Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.
Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama 'kituo cha polisi', CCM hawajafanya kampeni zozote za maana huu mwaka.
Ni kwa viashiria kama hivo ambavyo vinaniambia kwamba CCM haitoboi huu mwaka.
Mbinu pekee ni wizi wa kura na hujuma, ambavyo naviona pia vikienda kuangukia pua kwasababu CCM ya sasa ina maadui wengi sana wa ndani. Kuna wana CCM wengi sana wameumizwa na huu mfumo kandamizi na wote hao japo kwa sasa hawasemi wazi, wataenda kupiga kura ya haki.
Nimefurahi pia mbinyo wa jumuiya ya kimataifa kwa utawala wa Magufuli, hii inakuambia kwamba, ikiwa Magufuli atajaribu kutumia ubabe, ni wazi shahiri lazima kuwe na consequences.
Zamani CCM walifanikiwa kuibia watanzania kura, lakini tuliwasamehe kwasababu kidogo walikuwa ni waungwana. Ila kwa sasa, hakutakuwa na msamaha wa wezi.
CCM MUST FALL!
Hawa wanajifurahisha tu kabla ya uchaguzi. Subiri uone comments zao baada ya uchaguzi. Utafikiri sio wao waliokuwa wanaaandika wanayoandika leo.
Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.
Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama 'kituo cha polisi', CCM hawajafanya kampeni zozote za maana huu mwaka.
Ni kwa viashiria kama hivo ambavyo vinaniambia kwamba CCM haitoboi huu mwaka.
Mbinu pekee ni wizi wa kura na hujuma, ambavyo naviona pia vikienda kuangukia pua kwasababu CCM ya sasa ina maadui wengi sana wa ndani. Kuna wana CCM wengi sana wameumizwa na huu mfumo kandamizi na wote hao japo kwa sasa hawasemi wazi, wataenda kupiga kura ya haki.
Nimefurahi pia mbinyo wa jumuiya ya kimataifa kwa utawala wa Magufuli, hii inakuambia kwamba, ikiwa Magufuli atajaribu kutumia ubabe, ni wazi shahiri lazima kuwe na consequences.
Zamani CCM walifanikiwa kuibia watanzania kura, lakini tuliwasamehe kwasababu kidogo walikuwa ni waungwana. Ila kwa sasa, hakutakuwa na msamaha wa wezi.
CCM MUST FALL!
We ni mpumbavu kweli kweli..umasikini ni wewe mwenyewe na siyo chama cha siasaSawa kabisa CCM sasa basi tumechoka unyanyasaji na umaskini kwa miaka 60.
Alikuja kutaliiWameshaandaa visingizio. Mgombea urais wao keshakata na tiketi ya kurudi 'kwao'
TATHMINI YAKINAJIMU 2+8+1+2+2 SAWA NA 15 1+5 SAWA NA 6 SITA SI ALAMA NZURI KINAJIMU KWA SABABU ISRAIL ANAKALIA NAMBA HII jinsi ya kumdhibiti huyu ni kuwepo usawa atakosa nguvu kabisa na pahala pa kuanzia hatari yake huwanyima watu woga dhidi ya kifo na kuwapa ujasiri almuradi yake yatimie maafaInasemekana leo ilikuwa Jumamosi ya mwisho chini ya utawala wa CCM. Ni siku muhimu sana kwa historia ya taifa letu.
Vyovyote itakavyokuwa, 28/10/2020 itakuwa siku itakayoibadilisha Tanzania forever!