Huu ni uongo mtupu Nchi nyingi za kiafrika COVID19 haikuwa na athari kubwa kama Western countries na huko huyo anayejiita MWENDAWAZIMU hakutia mguu kwenda kuibamiza.
unachhoongea kinatoka moyoni au unafurahisha baraza tuNimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano...
Kesha tokea tayari anarindima, Raisi wa chuma anataradadi vizuri sanaBado hajatokea wa kuiangusha CCM.
Mkuu pole kwa yoteKwa kubebwa na tumeccm na polisiccm lakini uchaguzi HURU na wa HAKI maccm hayana chao? Kwa lipi walilolifanya? Miaka 60 ya uhuru Nchi haina chochote cha kujivunia. Wafanyakazi, Wakulima na Wafanyabiashara wote ni vilio tu.
Kwani uchaguzi wa mitaa 2019 si uligomewa!? Kuna jipya lolote lilitokea la hii serikali dhalimu? Ni vikwazo tu vya nguvu kiuchumi ndiyo vitaitia adabu hii Serikali dhalimu. Hakuna popote nilipoandika kuhusu Nyerere au Mkapa.
Kabisa J'mosi ya mwisho hawata rudi tena ...Inasemekana leo ilikuwa Jumamosi ya mwisho chini ya utawala wa CCM. Ni siku muhimu sana kwa historia ya taifa letu.
Vyovyote itakavyokuwa, 28/10/2020 itakuwa siku itakayoibadilisha Tanzania forever!
Nadhani sehemu ulipo kuna moshi mwingi sana hivyo huoni mbele, lakini mambo yote ni October 28; ni siku nne tu zimebaki!!!Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.
Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama 'kituo cha polisi', CCM hawajafanya kampeni zozote za maana huu mwaka...
Bila kupepesa macho ccm hasa Zanzibar haipo miaka mingi sana hata Rais mstaafu Amani karume kama lilivyo jina lake aliomba amani na maalim wakaunda serikali mseto, sasa kuna watu wanavichwa vigumu wanalazimisha kupendwa!a mwaka huu ya 2001 cha mtotoSawa kabisa CCM sasa basi tumechoka unyanyasaji na umaskini kwa miaka 60.
Kesha tokea tayari anarindima, Raisi wa chuma anataradadi vizuri sana
# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCER
Haijawahi tokea mgombea wa ccm kula kona kusini kulipo kuwa ngome yao kuomba kura,Hadi wanasingizia vimbunga.Umeshashiba Makande. Ccm inashinda vipi?
Kampeni wamekabidhi maafisa kificho na NEc bao inaangukia pua.
Ndo yaliyoikuta KANU mazoea.Bila kupepesa macho ccm hasa Zanzibar haipo miaka mingi sana hata Rais mstaafu Amani karume kama lilivyo jina lake aliomba amani na maalim wakaunda serikali mseto, sasa kuna watu wanavichwa vigumu wanalazimisha kupendwa!a mwaka huu ya 2001 cha mtoto
Hawakujua tatizo. Yaani jamaa alitaka sifa za covid akasahau kipigo cha Lissu badae. Alifanganywa na wapiga makofi kuwa anakubalika. Wananchi wanachomfanyia hana amani kabisa.
tuishaichoka CCM tareh 28 ndo mwisho wakeNimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano....
Ukitaja miaka 60 unagusa wote hao hadi muanzilishi wa chadema.
Hamkugoma bali mlifanya sitaki nataka. Mlitaman mno kudeki barabara tena
Mkuu pole kwa yote
Shetani hajawahi kumshinda MunguShukrani sana Mkuu ππ½ππ½ππ½ Mapambano bado yanaendelea Mkuu kitaeleweka tu.
Ndio hapo chacha. Labda kwa ndumbaCCM watashindaje uchaguzi wakati Mbeya, Geita, Simiyu, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Pemba, Unguja, Kigoma, Lindi, Mtwara, Dar, Singida, Ruvuma, Mara kote ni yeye!
Shetani hajawahi kumshinda Mungu