Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Katikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya.
Ajabu iwe mijini na hata huko vijijini hali ya upatikanaji wa maji ni ya kusuasua.
Binafsi siyo muumini wa mawaziri wapenda camera kama huyo Mtanga!
Ukimfutilia kwa kina ni aina ya mawaziri wanaopenda sifa za camera huku hakipo anachokifanya field cha dhati.