Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, aseeh statistics kuna sehemu hua zinafeli tu. Hata kama miradi ya maji inaendelea lakini statistics haziwezi jibu kwanini toka kaingia upatikanaji wa maji umepungua na umesua sua sana.Kiongozi unavoleta uzi wa namna hi jaribu kuunganisha na takwimu kidogo ili kujulisha na kutuaminisha na sisi haya uyasemayo.
Ukileta maneno tu hapa akina sisi tutakuita mbea na mtu mwenye wivu.
Mfano, ungeleta hapa takwimu za miradi ya maji aliyokuwa anasimama nayo kwenye kamera na haikukamilika hapo sawa, au takwimu ya hali ya upatikanaji wa maji kabla na baada ya yeye kupewa hi wizara hapo sawa.
Lakini wewe umetukusanya wanajamvi hapa Jf unatupa hi taarifa Wala hata katakwimu kidogo tukueleweje!??
Sisi tutaamini tu haya tunayoyasikia na kuyaona kwenye kamera za Aweso mpaka pale wewe utakapokuja na kamera zako kutugeuza hili tunaloamini..
vinginevyo tutasema ulikuwa unadaiwa bili za malimbikizo ya madeni ya maji maofisa wamekuja kwako wamekata bomba la maji na mwishoe unaanza kutafuta huruma hapa.
Tunasubiri kamera zako kiongozi ili tuunge mkono hoja yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kukawa na ukweli ndani yake,toka amekuwa rais hajawai kutumbua kiongozi wa dini yake kuanzia uwaziri mpaka ngazi za chini zaidi ya Ally Happy na yeye kilichomponza ni skendo ile ya wazee wale.Sema udini ndo unambeba! Kitendo cha kumtoa Lukuvi na Kalemani kinafikirisha sana! Katina baraza lake asilomia kubwa ya mawaziri waislam waliokuwa awamu ya tano aliwabeba
Mummy Mwalimu- afya
Jaffo-Mazingira
Aweso-Maji
Ila wakristo wengi ndi wametumbuliwa!
1.Eng Chamriho-ujenzi
.Kalemani-nishati
3.Lukuvi-ardhi
4.Kabudi-kimataifa
Ndugulile-naibu/afya
Waitara-naibu/jenzi
Badala yake akaingiza
1.Makamba-nishati
2.Riziwani-naibu Ardh
3.Makame-ujenzi
Anafanya kazi kwa udini na kwake ufanisi sio jambo la mzingi!
Kiongozi nitakuita mtu mzima siku ukimaliza lawama zisizokuwa na msingi,Sema udini ndo unambeba! Kitendo cha kumtoa Lukuvi na Kalemani kinafikirisha sana! Katina baraza lake asilomia kubwa ya mawaziri waislam waliokuwa awamu ya tano aliwabeba
Mummy Mwalimu- afya
Jaffo-Mazingira
Aweso-Maji
Ila wakristo wengi ndi wametumbuliwa!
1.Eng Chamriho-ujenzi
.Kalemani-nishati
3.Lukuvi-ardhi
4.Kabudi-kimataifa
Ndugulile-naibu/afya
Waitara-naibu/jenzi
Badala yake akaingiza
1.Makamba-nishati
2.Riziwani-naibu Ardh
3.Makame-ujenzi
Anafanya kazi kwa udini na kwake ufanisi sio jambo la mzingi!
Ni wabunge wa mwendazakeMtanikumbuka
Mimi nimegundua wewe ndo bwege kuliko hao uliowaona. Kazi ya waziri ni nini? Huyu ni mpigaji tu! Kelele kibao, tangu mtaani hadi bungeni kwenye maonesho ya wake zake.Sasa nyie nae ni wapuuzi,kwani Kazi ya Waziri ni kusimamia sera za maji au kukufungia wewe Bomba?
Miradi inatekeleza kwa mujibu wa Bajeti ioiyopo sasa kama mahitaji ni makubwa kuliko bajeti ya serikali hapo Waziri anahusikaje?
hajawahi kuwa kiongozi mzuri yule wa kufokafoka na mapovu kibaaoKatikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya.
Ajabu iwe mijini na hata huko vijijini hali ya upatikanaji wa maji ni ya kusuasua.
Binafsi siyo muumini wa mawaziri wapenda camera kama huyo Mtanga!
Ukimfutilia kwa kina ni aina ya mawaziri wanaopenda sifa za camera huku hakipo anachokifanya field cha dhati.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii wizara tungewapa wahaya shida ya maji isingekuwepo
Jibu hoja acha vioja wewe pimbi 👇Mimi nimegundua wewe ndo bwege kuliko hao uliowaona. Kazi ya waziri ni nini? Huyu ni mpigaji tu! Kelele kibao, tangu mtaani hadi bungeni kwenye maonesho ya wake zake.
He is a person who talks the hind legs off a donkey!
Foolish of you!Jibu hoja acha vioja wewe pimbi 👇
🚮🚮Foolish of you!
?????????????? This is brain like a sieve!! Isn't it?
👇?????????????? This is brain like a sieve!! Isn't it?
Asante sana bwana Aweso, lakini hatujaona tofauti kwenye mabomba zaidi ya hizo picha.Wakati Mkiendelea kuongea mambo mengi yasiyo na maana mnatakiwa kujua kwamba Kazi inaendelea kufanyika 👇