Hahahaha, aseeh statistics kuna sehemu hua zinafeli tu. Hata kama miradi ya maji inaendelea lakini statistics haziwezi jibu kwanini toka kaingia upatikanaji wa maji umepungua na umesua sua sana.
Mfano ni mkoa wa Mwanza toka kaingia maji imekua tabu iliyoshindwa kutatulika na ameshafanya ziara kadhaa kwenda huko lakini kashindwa kupatia ufumbuzi wa tatizo.
Note: kama wewe ni Statician najua utakua unaufahamu mzuri wa limitations & disadvantages of statistics.
Mtoa Mada una hoja na kweli Mr waziri analakujibu.