Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Umeongea la maana Sana. Miongoni mwa mawaziri failure baada ya Mwigulu na Makamamba ni huyu Aweso.Katikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya...
Sasa nyie nae ni wapuuzi,kwani Kazi ya Waziri ni kusimamia sera za maji au kukufungia wewe Bomba?Katikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya.
Ajabu iwe mijini na hata huko vijijini hali ya upatikanaji wa maji ni ya kusuasua.
Binafsi siyo muumini wa mawaziri wapenda camera kama huyo Mtanga!
Ukimfutilia kwa kina ni aina ya mawaziri wanaopenda sifa za camera huku hakipo anachokifanya field cha dhati.
MtanikumbukaUmeongea la maana Sana. Miongoni mwa mawaziri failure baada ya Mwigulu na Makamamba ni huyu Aweso.
Wenye matatizo ya afya ya akili utawajua tu!!Hii wizara tungewapa wahaya shida ya maji isingekuwepo
Yaani huo Muda sijawahi kuwa nao. Akumbukwe na wanaofurahia mabaya kuwapata binadamu wenzao (Sadists). Binafsi nilimfahamu kabla kwani alikuwa Mwalimu wangu Kwa hiyo sidanganyiki na mapambio.Mtanikumbuka
Mawaziri wengi walikuwa wanapata boost ya Marehemu.Katikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya.
Ajabu iwe mijini na hata huko vijijini hali ya upatikanaji wa maji ni ya kusuasua.
Binafsi siyo muumini wa mawaziri wapenda camera kama huyo Mtanga!
Ukimfutilia kwa kina ni aina ya mawaziri wanaopenda sifa za camera huku hakipo anachokifanya field cha dhati.
Ungeweza kutoa maoni na kuishia paragraph ya kwanza. Ulichoendelea kukiandika sicho tuliochoachiwa na Baba wa Taifa, kinakera na ni sumu wacha#SISI NI TAIFA PIGA VITA UDINI NA UKANDA.πππUpatikanaji wa maji hapa mjini umekuwa wa shida sana. Ilitakiwa yeye, na yule Luhemeja wa dawasa wote wapumzike wakale pesa zao walizozikusanya kwenye miradi na vikao.
Nadhani ule wenyeji wake wa kutokea mkoa wa pwani ya bahari na imani yake ndio pamoja na wake zake hasa yule dc ndio vinambeba mpaka sasa aendelee kuwepo. Maji hakuna yeye anabaki kufanya nini
Sema udini ndo unambeba! Kitendo cha kumtoa Lukuvi na Kalemani kinafikirisha sana! Katina baraza lake asilomia kubwa ya mawaziri waislam waliokuwa awamu ya tano aliwabebaUmeongea la maana Sana. Miongoni mwa mawaziri failure baada ya Mwigulu na Makamamba ni huyu Aweso.
Hana uwezo na hiyo wizara period! Amekuwa naibu waziri then waziri kamili halafu unaleta excuse ya kitoto kabisa..mwenye uwezo hahitaji muda unaosema kuielewa wizara.Nakubaliana, imemchukua muda mrefu kuielewa wizara yake.
Hasa ukitilia maanani hiyo si field yake maana hii sawa kabisa na wizara ya ujenzi.
Hoja yangu siko kwenye udini na watu wanachaguliwa sababu ya quota ya dini na mkoa anaotoka ili kupata waziri hizi ndio sayansi za siasa.Ungeweza kutoa maoni na kuishia paragraph ya kwanza. Ulichoendelea kukiandika sicho tuliochoachiwa na Baba wa Taifa, kinakera na ni sumu wacha#SISI NI TAIFA PIGA VITA UDINI NA UKANDA.[emoji120][emoji120][emoji120]
Hoja yangu siko kwenye udini na watu wanachaguliwa sababu ya quota ya dini na mkoa anaotoka ili kupata waziri hizi ndio sayansi za siasa.
Unadhani Hoja ya Bashungwa kubaki cabinet ni pamoja na kuwakilisha watu wa Kagera. Hii ni kanuni ya siasa.
Mfano Jafo akitemwa ataingizwa Malima sababu ya kanda wanayotoka ni mojaKwa case hii uliyotoa; unaamini huo ukanda na imani hiyo hiyo hakuna mwengine anayeweza? Kama yupo, hoja yako ya Waziri wa Maji kubaki kwa sababu ya imani na ukanda inalenga nini?Hoja yangu siko kwenye udini na watu wanachaguliwa sababu ya quota ya dini na mkoa anaotoka ili kupata waziri hizi ndio sayansi za siasa.
Unadhani Hoja ya Bashungwa kubaki cabinet ni pamoja na kuwakilisha watu wa Kagera. Hii ni kanuni ya siasa.
Mfano Jafo akitemwa ataingizwa Malima sababu ya kanda wanayotoka ni moja na inahitaji mwakilishi kitaifa.
Ndiyo maana nilikwambia ungeishia ktk suala la performance tu mengine siyo tuliyorithishwa na waasisiπππ