Bado tunaaminishwa/ tunaamini Aweso ni mchapakazi?

Aweso alisifiwa na Samia kwasababu ameoa MITALA siyo kwasababu ya kazi.

Ukitaka Bi Tozo akuone mchapakazi wewe OA MITALA.

Mifano.
  • Juma ร€weso.
  • Mchengerwa mla bata
  • Suleimani Jafo
 
Kiongozi unavoleta uzi wa namna hi jaribu kuunganisha na takwimu kidogo ili kujulisha na kutuaminisha na sisi haya uyasemayo.

Ukileta maneno tu hapa akina sisi tutakuita mbea na mtu mwenye wivu.

Mfano, ungeleta hapa takwimu za miradi ya maji aliyokuwa anasimama nayo kwenye kamera na haikukamilika hapo sawa, au takwimu ya hali ya upatikanaji wa maji kabla na baada ya yeye kupewa hi wizara hapo sawa.

Lakini wewe umetukusanya wanajamvi hapa Jf unatupa hi taarifa Wala hata katakwimu kidogo tukueleweje!??

Sisi tutaamini tu haya tunayoyasikia na kuyaona kwenye kamera za Aweso mpaka pale wewe utakapokuja na kamera zako kutugeuza hili tunaloamini..

vinginevyo tutasema ulikuwa unadaiwa bili za malimbikizo ya madeni ya maji maofisa wamekuja kwako wamekata bomba la maji na mwishoe unaanza kutafuta huruma hapa.

Tunasubiri kamera zako kiongozi ili tuunge mkono hoja yako.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, aseeh statistics kuna sehemu hua zinafeli tu. Hata kama miradi ya maji inaendelea lakini statistics haziwezi jibu kwanini toka kaingia upatikanaji wa maji umepungua na umesua sua sana.

Mfano ni mkoa wa Mwanza toka kaingia maji imekua tabu iliyoshindwa kutatulika na ameshafanya ziara kadhaa kwenda huko lakini kashindwa kupatia ufumbuzi wa tatizo.

Note: kama wewe ni Statician najua utakua unaufahamu mzuri wa limitations & disadvantages of statistics.

Mtoa Mada una hoja na kweli Mr waziri analakujibu.
 
Inawezekana kukawa na ukweli ndani yake,toka amekuwa rais hajawai kutumbua kiongozi wa dini yake kuanzia uwaziri mpaka ngazi za chini zaidi ya Ally Happy na yeye kilichomponza ni skendo ile ya wazee wale.
 
Kiongozi nitakuita mtu mzima siku ukimaliza lawama zisizokuwa na msingi,

Nilishawahi kusikia kuwa Kila kiongozi au mkuu wa nchi anayeingia huingia na kundi lake tukasema Kuna baadhi ya wateuliwa wamekumbwa na hili.

Nawewe hapa unasema hapana hili Ni la udini, hivi hatuna namna nyingine yakuwaza haya mambo nje ya udini!?

Mbona Kila kitu kinachofanyika anayefanya na kufanyiwa twaanza kuangalia dini yake na kuhusisha hili katika Kila mahali.

Hawa wasio na dini ili watuongoze tutawapata wapi!?

Sisemi kuwa halipo, yaweza kuwa lipo kwamaana watuongozao wanadini zao pia lakini kuja hapa nakusema moja kwa moja kafanya hili kwa sababu ya dini na udini wake tunakosea.

Lawama na labda hizi huzika matumaini na imani zetu juu ya viongoz wetu huenda wanaoliendesha hili taifa kwa Nia njema kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua mawaziri wengi wali shine kutokana na muongozo wa magufuli. Sasa huyu aliyepo mwenyewe hajui mahitaji ya nchi wala wizara husika. Ukimuuliza unataka kuifanya nini Tanzania naamini hatokuwa na jibu lililonyooka..
 
Sasa nyie nae ni wapuuzi,kwani Kazi ya Waziri ni kusimamia sera za maji au kukufungia wewe Bomba?

Miradi inatekeleza kwa mujibu wa Bajeti ioiyopo sasa kama mahitaji ni makubwa kuliko bajeti ya serikali hapo Waziri anahusikaje?
Mimi nimegundua wewe ndo bwege kuliko hao uliowaona. Kazi ya waziri ni nini? Huyu ni mpigaji tu! Kelele kibao, tangu mtaani hadi bungeni kwenye maonesho ya wake zake.
He is a person who talks the hind legs off a donkey!
 
hajawahi kuwa kiongozi mzuri yule wa kufokafoka na mapovu kibaao
 
Mimi nimegundua wewe ndo bwege kuliko hao uliowaona. Kazi ya waziri ni nini? Huyu ni mpigaji tu! Kelele kibao, tangu mtaani hadi bungeni kwenye maonesho ya wake zake.
He is a person who talks the hind legs off a donkey!
Jibu hoja acha vioja wewe pimbi ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221012-191124.png
    136.4 KB · Views: 2
Wakati Mkiendelea kuongea mambo mengi yasiyo na maana mnatakiwa kujua kwamba Kazi inaendelea kufanyika ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221013-151013.png
    123.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221013-151447.png
    204 KB · Views: 2
Wakati mnaongea upuuzi mnatakiwa kuelewa kwamba maji yanatoka ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221013-124154.png
    186 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ