The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Utafunga bakuri lako bila kuambiwa πUnajua mawaziri wengi wali shine kutokana na muongozo wa magufuli. Sasa huyu aliyepo mwenyewe hajui mahitaji ya nchi wala wizara husika. Ukimuuliza unataka kuifanya nini Tanzania naamini hatokuwa na jibu lililonyooka..
Ujinga umewajaa kichwani na mtakufa na kurithisha kwa watoto wenu..Inawezekana kukawa na ukweli ndani yake,toka amekuwa rais hajawai kutumbua kiongozi wa dini yake kuanzia uwaziri mpaka ngazi za chini zaidi ya Ally Happy na yeye kilichomponza ni skendo ile ya wazee wale.
Umepungua na kusua sua au siyo?Hahahaha, aseeh statistics kuna sehemu hua zinafeli tu. Hata kama miradi ya maji inaendelea lakini statistics haziwezi jibu kwanini toka kaingia upatikanaji wa maji umepungua na umesua sua sana.
Mfano ni mkoa wa Mwanza toka kaingia maji imekua tabu iliyoshindwa kutatulika na ameshafanya ziara kadhaa kwenda huko lakini kashindwa kupatia ufumbuzi wa tatizo.
Note: kama wewe ni Statician najua utakua unaufahamu mzuri wa limitations & disadvantages of statistics.
Mtoa Mada una hoja na kweli Mr waziri analakujibu.
Anacho weza yule waziri Ni kuchakta wale wake zake tu na kubwabwaja mdomo wake kumsifia mteuzi nimewai mtumia clipu jinsi maji watu wanafuihujumu minundo mbinu ajanibu Wala kufatilia like swalaKatikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya.
Ajabu iwe mijini na hata huko vijijini hali ya upatikanaji wa maji ni ya kusuasua.
Binafsi siyo muumini wa mawaziri wapenda camera kama huyo Mtanga!
Ukimfutilia kwa kina ni aina ya mawaziri wanaopenda sifa za camera huku hakipo anachokifanya field cha dhati.
Sasa kwani ameacha kuchapa Kazi?Katikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya.
Ajabu iwe mijini na hata huko vijijini hali ya upatikanaji wa maji ni ya kusuasua.
Binafsi siyo muumini wa mawaziri wapenda camera kama huyo Mtanga!
Ukimfutilia kwa kina ni aina ya mawaziri wanaopenda sifa za camera huku hakipo anachokifanya field cha dhati.
Ili uwe wewe au? ππ.Upatikanaji wa maji hapa mjini umekuwa wa shida sana. Ilitakiwa yeye, na yule Luhemeja wa dawasa wote wapumzike wakale pesa zao walizozikusanya kwenye miradi na vikao.
Nadhani ule wenyeji wake wa kutokea mkoa wa pwani ya bahari na imani yake ndio pamoja na wake zake hasa yule dc ndio vinambeba mpaka sasa aendelee kuwepo. Maji hakuna yeye anabaki kufanya nini
Kiongozi mzuri ni wewe? Nyambaaaf kabisahajawahi kuwa kiongozi mzuri yule wa kufokafoka na mapovu kibaao
Hivi kuwa katibu wa waziri maana yake ni kutetea upuuzi? kumbe waimba taarabu kazi hii inawafaa sana!Umepungua na kusua sua au siyo?
Acha uendelee kupungua na kusua sua kama hivi π
NdioHivi kuwa katibu wa waziri maana yake ni kutetea upuuzi? kumbe waimba taarabu kazi hii inawafaa sana!
Unfortunately yeye ni mbunge wewe unasubilia uonewe huruma mwisho wa mwezi ππMtu akishakua na wake wawili ujue utendaji wake utakua zero au negative.
Muda wa ofisi anakua anasikiliza simu za majungu kutoka mke mdogo, weekend yote badala ya kupumzika anaamua kesi.
Especially Kama huyo mke mdogo walimshindwa wenzio wakambwaga.
Ndio ni kitu gani? andika ndiyo.Ndio
Nachoweza kusema zaidi ni kua jina lako linasadifu tabia yako.Umepungua na kusua sua au siyo?
Acha uendelee kupungua na kusua sua kama hivi [emoji116]
Sawa kabisaNachoweza kusema zaidi ni kua jina lako linasadifu tabia yako.
Ee twambia ugumu alianza zamani ee[emoji16][emoji16][emoji16]Yaani huo Muda sijawahi kuwa nao. Akumbukwe na wanaofurahia mabaya kuwapata binadamu wenzao (Sadists). Binafsi nilimfahamu kabla kwani alikuwa Mwalimu wangu Kwa hiyo sidanganyiki na mapambio.
Maji ya Bomba ni ya mgao ila tuna visima private so hakuna shida..Vipi ndugu yangu The Sunk Cost Fallacy huko ulipo upatikanaji wa maji upoje?