Bado wanaume mnahukumu tabia za wanawake kwa vigezo vya makabila yao?

Bado wanaume mnahukumu tabia za wanawake kwa vigezo vya makabila yao?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kuna mdada gani sasa hivi hana kisirani?

Kuna mdada gani sasa hivi agombani na mmeo hata kama sio physical mnaenda round saikolojiko?

Its 2025, bado kijana anawaza ukabila wa mademu.

Mademu wa kileo ni kabila moja🤣🤣
 
Mwanaume unapotaka kuwa na mwanamke mmoja wa kumuweka ndani, kamwe usidharau past ya mwanamke, malezi na kabila lake.
 
Back
Top Bottom