Bafu linavujisha maji

Bafu linavujisha maji

MamaZion

Member
Joined
Apr 21, 2023
Posts
91
Reaction score
117
Habari wadau, naomba msaada wenu kwa kitu kinachonichanganya kidogo. Nyumbani kwangu sijamaliza ujenzi so kwa suala la choo na bafu familia nzima tunatumia kile cha public. Hiki cha masters tayari wameshaweka matoleo ni kiasi tu cha kununua sinki na shower ila tangu mwaka jana mwishoni maji yanatokeo pale kwenye eneo litakapokaa choo chenyewe. Mwaka Jana yalikuwa maji ya kawaida tu hayana rangi wala harufu ila kuanzia mwaka huu yamekuwa na rangi nyeusi na yanatoa harufu japo si Kali

Hapo kutakuwa na shida gani? Wataalamu wa ujenzi, plumbing na wamiliki wa nyumba wenye uzoefu naomba mnisaidie nini cha kufanya. Asanteni
 
Pole. Fundi Marco kafanya yake
 
Cha kufanya cha kwanza usibanie ela kwenye ujenzi.

Pili hakikisha unatafuta mafundi wenye uwezo

Tatu hakikisha unatumia vifaa vyenye ubora (usitafute cheap staff).
 
Back
Top Bottom