Uchaguzi 2020 Bagamoyo msirudie mlichokifanya kwa CHADEMA leo

Wazaramo na siasa wapi na wapi???-- lao ni ngoma na bao tu.🤣
 
Walishazoea kubebwa kwenye mafuso na kuhongwa pesa za uji
 
Chadema kampeni zao ili wasiendelee kuaibika wangewekeza nguvu zao nyingi kwenye mikoa ya Mara, Mbeya, Iringa, Arusha, Singida , Kilimanjaro na Mikumi kwa Prof J na Zanzibar.Mikoa mingine msiende jamani mtamuaibisha mgombea wetu
 
Huna tarifa kuwa chopa imezuwiwa kurushwa huko JKNIA
 
Kwa nini CHADEMA hamkusomba watu toka Kawe waende Bagamoyo kwenye huo mkutano wa uzinduzi hapo Bagamoyo!? Kweli mmeshindwa kutumia MKAKATI huo?
 
Mwanawane.. Naunga mkono hoja..
 
Kanda ya ziwa wanasiasa wanaliamsha kuanzia saa mbili asubuhi
 
Bagamoyo Lissu kasimamisha mji alafu huyu mlamba viatu kaficha picha za tukio kaja kuwalaghai wenye akili zao jf..upuuzi wako malizia huko huko lumumba ken.e wewe!
Ina maana huyo mlamba viatu yuko peke Yake hapo uwanjani na asipopiga picha HAKUNA kamanda hata mmoja wa kupiga picha?
 
Dah...We jamaa muongo sana....mimi nipo kitengo cha huduma ya kwanza...hadi mkutano unaisha watu 27 walipoteza fahamu kwa sababu ya msongamano na kukosa hewa..... acha uongo [emoji2960]
Mbona mnabwabwaja tuu hampigi picha huo uwanja tuone waliozimia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…