Uchaguzi 2020 Bagamoyo msirudie mlichokifanya kwa CHADEMA leo

Uchaguzi 2020 Bagamoyo msirudie mlichokifanya kwa CHADEMA leo

Kama kweli hali ni mbaya uko Bagamoyo. Kukwepa aibu kesho Lissu utamsikia anazusha watu walizuiwa kwenda kumsikiliza sijui na nani atakae amua kumzushia uongo.
Hakuna aliyezuiwa, ila nina amini angeenda uwanjani na kuanza kuongea watu wangejitokeza kidogo
 
Nipo Bagamoyo. Watu wamekusanyika wengi Sana hapa ktk viwanja vya Majengo wakiendelea kumsubiria rais mtarajiwa bila kuchoka.
 
CCM hangaikeni na fiesta yenu... ya CHADEMA waachieni wenyewe.
 
Chadema hawana mikakati ya kuwafikia wananchi.
Wanachojua ni hamasa za mitabdaoni kutumia akaunti feki zao
Hili linaweza kuwa tatizo, chama kinatakiwa kikae haraka kuja na mikakati
 
Bagamoyo walichofanya sijakipenda, ni kitendo kinachopaswa kupigwa vita kwa nguvu zote
Kama hawamtaki utawalazisha? Aunge mkono juhudi angalau atafikiriwa kuwa mzalendo.
Kama wanajua kuna usaliti basi hakuna namna.

Pia hoja ya kukubali ushoga hapo mashehe hawatamuelewa
 
CCM hangaikeni na fiesta yenu... ya Chadema waachieni wenyewe.
Chadema bado tuna ushawishi, kuna nguvu inahitajika tufanye kwenye maeneo kama hayo ya bagamoyo, vinginevyo tunaenda kuaibika
 
Niko uwanja wa miembe Saba Chalinze hapatoshi siwezi hata kupiga picha labda niwe na kamera ya juu
 
Yaonyesha hadi mida hiyo hapo Lumumba ulipokuwapo hamkuwa na mwana chadema Ila nyie buku 7 kadhaa mliokuwa mkisubiria malipo yenu ya leo ali mradi mkono uende kinywani.
 
Back
Top Bottom