Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Kwa mange hakuna skrinishot dear kupakua kwenyewe uwe mtaalamu sana ,miye kujiunga inafeli nimekaa tu sijiungi

Hahaa pole mimi kuna dada alikuja nimsaidie kumuunga app ya mange.

Ni simple sana! VPN/M-pesa na ku install app yake tu basi.

Kwa urahisi jiunge M-pesa Visa card ila usiwe mbahili tu ,kwa huku utakatwa 2400 kwa Mwezi na sio 1000.
 
Hapa ishu sio USUKUMA, na sio UCHAGA ni UPUMBAVU WA DINI YA KIKRISTO TU.

Waislam kesi kama hizi husikii, umekufa saa 10 alfajiri basi saa 7 Mchana wake baada ya Swala ya adhuhur unazikwa na mambo yanapita.

Tuwe na utaratibu wa kuzingatia dini zetu, hii migogoro huwezi isikia.
 
Hii BOMA maana yake nini? Weka kiswahili chake hapa ueleweke, sio wote tunaweza elewa matumizi ya neno hilo.

Nitokako mimi BOMA ni nyumba kubwa isiyoisha. Hapo umemaanisha nini?
Nitokapo Mimi BOMA maana yake ni 👇

British Overseas Management Administration.

Kwahiyo enzi za ukoloni majengo yao ya kiutawala yalikuwa wanayaita BOMA na yalivyoondoka wakayetelekeza waafrica wakatohoa kwamba jengo ambalo alijamalizika linaitwa BOMA.
 
Hapa ishu sio USUKUMA, na sio UCHAGA ni UPUMBAVU WA DINI YA KIKRISTO TU.

Waislam kesi kama hizi husikii, umekufa saa 10 alfajiri basi saa 7 Mchana wake baada ya Swala ya adhuhur unazikwa na mambo yanapita.

Tuwe na utaratibu wa kuzingatia dini zetu, hii migogoro huwezi isikia.
Acha kudharau dini ya watu kenge wewe na hilo liavatar lako la marehem
 
Marehemu alishaacha wosia azikwe bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mimewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange
Sawa,

Nilichoelewa hapa ni kuwa huyu Mwanamke hakuwa Mtu mzuri na alikuwa mwenye tabia mbaya sana

Huenda ndio sababu ya Mume wake kufa ingali ni kijana mdogo

Bwn. Henry hakuwa na tatizo na shahidi ni huyo jirani aitwa Fatuma

Ndugu zangu kabla ya kuamua kuoa au kuolewa tumwombe Mungu kweli atupatie watu sahihi wa kuishi nao, sio Wakamilifu lakini wawe na hofu (ya kweli) ya Mungu na tabia njema

Sasa ni aibu hii kwa Mwanamke huyu mpaka anakimbia kwake kwenye mazishi ya aliyekuwa Mumewe.
 
Huyo Mwanamke wake huenda alimfanyizia madawa ya kumuua taratibu maana kifo chake kilivyo kama ni korona hivi maana kila siku condition ilikuwa inabadilika na anashindwa kupumua,jamaa alikuwa msomi hasa alikuwa na Masters ,kama mkewe alichafua hali ya hewa kwa Mange basi alikuwa madada wa mujini ambao Pesa Mbele kama Tai.
Huruma sana
Ila hatasahau nguvu ya umma
 
Back
Top Bottom