Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

WOSIA batili.

Wosia ni utashi na maamuzi ya marehemu juu ya mambo yanayokubalika kisheria na aliyo na mamlaka nayo 100%.

Ukifa nyumba inakuwa ya mke, mke hataki kaburi mlangoni. Huna haki ya kuzikwa hapo.

Na huwezi kusema nikifa mke asiuze nyumba wala asipake rangi nyeupe wala asiingize ndani ki ben 10. Nyumba si yako tena!

Mjane kata rufaa.
Mimi sina taaluma ya sheria, nafikiria hapa namna ulivoipinga hiyo hukum kwa misingi yako uliainisha hapo, kama wewe una taaluma ya sheria, kazi ipo asee.
 
Si huwa tunaambiwa humu kwamba mchaga hata awe ombaomba akifia miji ya watu ni lazima atasafirishwa kuzikwa ardhi ya Babu na bibi.

Au huyo Masawe ni jina la ubatizo.
 
Kwann mtu azikwe nyumbani??? Wakati sehemu za kuzika zipo. Au marehemu hakutaka nyumba yake iuzwe.??? Ila siku hizi watu wanahamisha makaburi na nyumba inauzika vizuri tu

Kuhamisha kaburi itabidi arudi serikalini kuomba kibali, ambako huko huko ndio wameamuru azikwe nyumbani, sasa atawezaje ku justify kuhamisha kaburi ?

Kuzika nyumbani ni ujima.

1/ Kuna depreciate land value.

2/ Kuna ingilia haki ya mjane mmiliki au mtoto mrithi kutumia ardhi atakavyo.

3/ Kunazuia eneo kuuzika, ambayo ni kinyume na msingi wa common law unaokataza restraint on alienation.

Hakimu aliye endorse maziko nyumbani nae upeo wake hafifu.
 
KUZIKWA HAPO KWAKE, NI NYUMBA YA MTOTO AU WATOTO.
KINYUME NA HAPO MWANAMKE ANGEUZA NYUMBA.

HIZI MAMBO ZA KUOA HIZI, UMAKINI UNATAKIWA

Umakini hausaidii.. binadamu wana badilika.

Waislamu ndio wamewaweza wanawake. Sababu sheria za dini zao hakuna mambo ya mali za pamoja wala hakuna mambo ya mke kuwa ndio kila kitu
 
Mke alitaka mume wake asizikwe nyumbani ili nyumba iwe rahis kuuzika au kukopewa pesa bank haiwezi kukupa mkopo kwa nyumba yenye kaburi na hakuna mteja anayeweza nunua nyumba yenye kaburi wakifatilia sana huu msiba chanzo cha kifo ni hiemda mkono wa mke upo
Na anamalengo yake
 
Kwa
WOSIA batili.

Wosia ni utashi na maamuzi ya marehemu juu ya mambo yanayokubalika kisheria na aliyo na mamlaka nayo 100%.

Ukifa nyumba inakuwa ya mke, mke hataki kaburi mlangoni. Huna haki ya kuzikwa hapo.

Na huwezi kusema nikifa mke asiuze nyumba wala asipake rangi nyeupe wala asiingize ndani ki ben 10. Nyumba si yako tena!

Mjane kata rufaa.
Hauna akili japo unajitutumua kunionyesha umetumia akili
 
Kuhamisha kaburi itabidi arudi serikalini kuomba kibali, ambako huko huko ndio wameamuru azikwe nyumbani, sasa atawezaje ku justify kuhamisha kaburi ?

Kuzika nyumbani ni ujima.

1/ Kuna depreciate land value.

2/ Kuna ingilia haki ya mjane mmiliki au mtoto mrithi kutumia ardhi atakavyo.

3/ Kunazuia eneo kuuzika, ambayo ni kinyume na msingi wa common law unaokataza prohibition against alienation.

Hakimu aliye endorse maziko nyumbani nae upeo wake hafifu.
Rubbish kabisaa.

Kwa maana hiyo ,hamna haja ya Wosia?.

Wee naye ni Mwanasheria?.
 
Back
Top Bottom