Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Alikuwa anafanya kazi shirika la viwango, safari za nje kama zote.Hayo mambo hayanaga gpa wanasema unajikuta tu upo na lishangazi 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anafanya kazi shirika la viwango, safari za nje kama zote.Hayo mambo hayanaga gpa wanasema unajikuta tu upo na lishangazi 😃
Kwa mkewe kashindwa kuweka viwango si unaona sasa 😃Alikuwa anafanya kazi shirika la viwango, safari za nje kama zote.
Mimi sina taaluma ya sheria, nafikiria hapa namna ulivoipinga hiyo hukum kwa misingi yako uliainisha hapo, kama wewe una taaluma ya sheria, kazi ipo asee.WOSIA batili.
Wosia ni utashi na maamuzi ya marehemu juu ya mambo yanayokubalika kisheria na aliyo na mamlaka nayo 100%.
Ukifa nyumba inakuwa ya mke, mke hataki kaburi mlangoni. Huna haki ya kuzikwa hapo.
Na huwezi kusema nikifa mke asiuze nyumba wala asipake rangi nyeupe wala asiingize ndani ki ben 10. Nyumba si yako tena!
Mjane kata rufaa.
Kwann mtu azikwe nyumbani??? Wakati sehemu za kuzika zipo. Au marehemu hakutaka nyumba yake iuzwe.??? Ila siku hizi watu wanahamisha makaburi na nyumba inauzika vizuri tu
Kama maslahi yanakuwa hatarini sio sheriaSi huwa tunaambiwa humu kwamba mchaga hata awe ombaomba akifia miji ya watu ni lazima atasafirishwa kuzikwa ardhi ya Babu na bibi.
Au huyo Masawe ni jina la ubatizo.
KUZIKWA HAPO KWAKE, NI NYUMBA YA MTOTO AU WATOTO.
KINYUME NA HAPO MWANAMKE ANGEUZA NYUMBA.
HIZI MAMBO ZA KUOA HIZI, UMAKINI UNATAKIWA
Nani kakuambia mke ni mchagga mkuu?Hawa ndio wanafanya wanawake wa kichaga waonekane wauaji
Jishikilie. Msukuma huyo mkeManka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Trust me, watamnyoosha. Yaan ndo wayampoteza kabisa hata kama ni mboga ya kiongozi. Itamgharimu. Halafu watunwakaenda kutambika huko watatafutana.Tena atamwaga na zege kabisa kuondoa kumbukumbu.
Kweli mkuu, hawana sijui mpaka kifo kitutenganishe. Hki ndio kitanzi kwa walio wakristoUmakini hausaidii.. binadamu wana badilika.
Waislamu ndio wamewaweza wanawake. Sababu sheria za dini zao hakuna mambo ya mali za pamoja wala hakuna mambo ya mke kuwa ndio kila kitu
Hauna akili japo unajitutumua kunionyesha umetumia akiliWOSIA batili.
Wosia ni utashi na maamuzi ya marehemu juu ya mambo yanayokubalika kisheria na aliyo na mamlaka nayo 100%.
Ukifa nyumba inakuwa ya mke, mke hataki kaburi mlangoni. Huna haki ya kuzikwa hapo.
Na huwezi kusema nikifa mke asiuze nyumba wala asipake rangi nyeupe wala asiingize ndani ki ben 10. Nyumba si yako tena!
Mjane kata rufaa.
Rubbish kabisaa.Kuhamisha kaburi itabidi arudi serikalini kuomba kibali, ambako huko huko ndio wameamuru azikwe nyumbani, sasa atawezaje ku justify kuhamisha kaburi ?
Kuzika nyumbani ni ujima.
1/ Kuna depreciate land value.
2/ Kuna ingilia haki ya mjane mmiliki au mtoto mrithi kutumia ardhi atakavyo.
3/ Kunazuia eneo kuuzika, ambayo ni kinyume na msingi wa common law unaokataza prohibition against alienation.
Hakimu aliye endorse maziko nyumbani nae upeo wake hafifu.
Hapana Mwanaume akizikwa hapo Mwanamke hawezi kuuza nyumba au kuolewa na mwanaume Mwingine wakaishi hapo hapoMambo mengine ni upuuzi tu, huyo alitaka kujimilikisha msiba Ili akapate michango Kwa ndugu zake huko. Ndugu wa Mume wapo sahihi na wasibabaishwe na huyo mke wao.