Na maranyingi akimpata mwenye utu anamchezeaUkibahatika kupata mwenza mwenye utu ni zaidi ya uhai ila ukipata mke wa aina ya hili sanga ni mateso tu duniani
Anafurahia jamaa anavokaribia kukata roho[emoji848]View attachment 2494576
Hapa Chini alikuwa na Marehemu Hospital ,kilichonishangaza ni Tabasamu lake huku Mmewe ni Mgonjwa.
View attachment 2494579
Ulitaka alie? Hivi hizi akili huwa mnazitoa wapi? Matakoni au? Yaan unauguza mtu na unamuona anashika kijiko/uma yy mwenyewe bado uwe na huzuni??View attachment 2494576
Hapa Chini alikuwa na Marehemu Hospital ,kilichonishangaza ni Tabasamu lake huku Mmewe ni Mgonjwa.
View attachment 2494579
Huyu kamuua mumewe,trust meMdada wa kisukuma kashajichafulia cv. Pole yake.
Kwa mange hakuna skrinishot dear kupakua kwenyewe uwe mtaalamu sana ,miye kujiunga inafeli nimekaa tu sijiungi
Huu uzi umenifanya nigundue watu hawalali!
Nitokapo Mimi BOMA maana yake ni 👇Hii BOMA maana yake nini? Weka kiswahili chake hapa ueleweke, sio wote tunaweza elewa matumizi ya neno hilo.
Nitokako mimi BOMA ni nyumba kubwa isiyoisha. Hapo umemaanisha nini?
Acha kudharau dini ya watu kenge wewe na hilo liavatar lako la marehemHapa ishu sio USUKUMA, na sio UCHAGA ni UPUMBAVU WA DINI YA KIKRISTO TU.
Waislam kesi kama hizi husikii, umekufa saa 10 alfajiri basi saa 7 Mchana wake baada ya Swala ya adhuhur unazikwa na mambo yanapita.
Tuwe na utaratibu wa kuzingatia dini zetu, hii migogoro huwezi isikia.
Kuzikwa ni wajibu wa serikaliHivi ukishakuwa na ndoa mwenye haki ya kuzika ni mke au ndugu wa mume?
Naona kama umetukana bila sababu hivi.
Ndio ilikua hivjKwahiyo marehemu hajazikwa?? Huyo alitaka aiuze nyumba maana si unajua huwezi uza nyumba na kaburi
Sawa,Marehemu alishaacha wosia azikwe bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mimewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange
Sio kweli, inategemea na circumstance. Wapo wengi tu wanaozikwa sehemu za mbali na MoshiSi huwa tunaambiwa humu kwamba mchaga hata awe ombaomba akifia miji ya watu ni lazima atasafirishwa kuzikwa ardhi ya Babu na bibi.
Au huyo Masawe ni jina la ubatizo.
Tuwekeeni picha yake tumjue huyo mwanamkeAsante mwaya. Kijana msomi sijui ilikuwaje akaoa huyu shangingi.
Huruma sanaHuyo Mwanamke wake huenda alimfanyizia madawa ya kumuua taratibu maana kifo chake kilivyo kama ni korona hivi maana kila siku condition ilikuwa inabadilika na anashindwa kupumua,jamaa alikuwa msomi hasa alikuwa na Masters ,kama mkewe alichafua hali ya hewa kwa Mange basi alikuwa madada wa mujini ambao Pesa Mbele kama Tai.
sasa unaandika hisia zako humu wakati huna ulijualo tukuite juha au mjingaKwa hiyo mkuu ni hilo tu ndio la kukufanya uniite mjinga?
ndo uji selfie kwa furaha na kutupa mitandaoni, we ni juha na punguaniUlitaka alie? Hivi hizi akili huwa mnazitoa wapi? Matakoni au? Yaan unauguza mtu na unamuona anashika kijiko/uma yy mwenyewe bado uwe na huzuni??