Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Huo utaratibu ni kwa mujibu wa kabila gani hapa duniani? Au ni kwa mujibu wa dhehebu lipi? Au ni kwa mujibu wa sheria ipi ya nchi hii?Mtu akishakuwa ni mume/mke wa mtu halali mwenzie akitangulia all alobaki ndio wa kupanga ni wapi mume/mke wangu atazikwa! Sio ndugu......ndugu kuingilia kupanga flani azikiwe wapi ndio wana jambo lao