Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Duhh
 
Wadada / wanawake wa siku hizi kaka kaa nao kwa machale sana, unajikuta kuna vitu unafanya mpaka watu wanakushangaa
 
Sio wote ila majority.

Na hii inasababisha mashababi waanze kula "wanawake version 2" sabab siku hizi kiukweli wanawake roles zao zinawashinda kabisa
Hizo si sababu, tangu kale wanawake katili walikuwepo, mfano kisa cha Samson lakini isiwe kisingizio cha kuhalalisha ushoga,, hapa hamumkomoi mwanamke ila mnajikomoa nyie wenyewe na kwa mwenye akili hawezi kuhalalisha hilo hata kuliwaza tu
 
Wote ni wasaliti adhabu yao iko palepale,

Na unatoa mfano wa wayahudi umesahau wao walikua wakiona mwanamke kazini basi ni kupigwa mawe mpaka afe, bila kuangalia mwanaume ni nani
 
Hebu acheni kusingizia ujinga halafu unaita udhaifu. Mwanamke anayefanya haya ni mjinga period.
 
Hizo si sababu, tangu kale wanawake katili walikuwepo, mfano kisa cha Samson lakini isiwe kisingizio cha kuhalalisha ushoga,, hapa hamumkomoi mwanamke ila mnajikomoa nyie wenyewe na kwa mwenye akili hawezi kuhalalisha hilo hata kuliwaza tu
No, hilo neno umelisema wewe, mimi sijalisema.

Nikisema wanawake version 2 namaanisha trans woman, siongelei mashoga hapa.

Wanaodate na trans women wanasema hawa ni wanawake na nusu
 
Upo timamu wewe?
 
Cc: Liverpool VPN one down roger that?
Hakuna cha one man down

Mke sio ndugu yako

Shida madogo hawaelewi hili swala

Nashauri watu waoe Ila waoe watu wenye akili sio kuoa Kwa matamanio ya macho oa mtu anayeweza kutunza familia na kutunza Siri zenu na mwenye utu either mzuri au mbaya maana kuna watu wanadhani wanawake wabaya ndo wana roho nzuri kuna watu ni wabaya kama sura zao na hapo ndipo unajua sura ni roho pia 😂
 
No, hilo neno umelisema wewe, mimi sijalisema.

Nikisema wanawake version 2 namaanisha trans woman, siongelei mashoga hapa.

Wanaodate na trans women wanasema hawa ni wanawake na nusu
😂😂😂Unachekesha sana jinsi ambavyo umejikana halafu ukatetea kitu kilekile, anzisha mada tutajadili hilo hapa sio mahali pake
 
Mbona tiba ipo. Nayo ni kuacha shobo.
 
Na huo ni upumbavu pia wa uislamu kuzika haraka haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…