Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Wanawake wenye roho mbaya wapo tu kila kona siku hizi. Kuna jamaa hukohuko alioa mwanamke kakaa nae miaka kama kumi hivi, jamaa alikua ana hela kinoma kumbe mke wake anatoka na rafiki yake tajiri pia kama tu mmewe ila kipindi hicho mmewe alikua anamzidi. Ikaja tokea jamaa mkopo wa bank ukamshindwa kulipa akafilisiwa mke hata hakukaa wiki wala hakusubiri talaka akahamia kwa huyo rafiki yake mmewe.

After 3 month mwanamke huyo na tumbo kubwa, mimba ya rafiki yake mmewe, bado wapo wote hadi sasa ila Karma itawafanya kitu kibaya sana.

Mmewe alisapotiwa na rafiki zake sshv karudi kwenye chati na ana pesa zaidi hata ya mwanzo.
Duhh
 
Tunaomba picha zake huyu mdada mtata hadi kwa marehemu, mwenzie kafumba macho jenezani yeye anawaza hela.

Nadhan hata alipokuwa hospital alikuwa anauliza kila mara hajafa??

Ila na sisi wanaume tupo wa ajabu sana, unaishije na mtu wa aina hii usione dalili na tabia zote hizi mbaya.

Au madawa ya limbwata????????
Wadada / wanawake wa siku hizi kaka kaa nao kwa machale sana, unajikuta kuna vitu unafanya mpaka watu wanakushangaa
 
Sio wote ila majority.

Na hii inasababisha mashababi waanze kula "wanawake version 2" sabab siku hizi kiukweli wanawake roles zao zinawashinda kabisa
Hizo si sababu, tangu kale wanawake katili walikuwepo, mfano kisa cha Samson lakini isiwe kisingizio cha kuhalalisha ushoga,, hapa hamumkomoi mwanamke ila mnajikomoa nyie wenyewe na kwa mwenye akili hawezi kuhalalisha hilo hata kuliwaza tu
 
Tuishi nao kwa akili hili neno lina maana kubwa.

Mwanamke ni kiumbe dhaifu na ni kiumbe wa kurubuniwa, likitokea jambo mtu wako wa Katibu amekusaliti lawama hupaswi kumpa mwanamke, huyo rafiki yako ndio anabeba full responsibility na kijeshi kesi uhaini ni kifo tu hakuna mbadala.

Ndio sababu kwenye sensa ya Wayahudi wanawake walikuwa hawahesabiwi unadhani ni kwa nini?
Wote ni wasaliti adhabu yao iko palepale,

Na unatoa mfano wa wayahudi umesahau wao walikua wakiona mwanamke kazini basi ni kupigwa mawe mpaka afe, bila kuangalia mwanaume ni nani
 
Tuishi nao kwa akili hili neno lina maana kubwa.

Mwanamke ni kiumbe dhaifu na ni kiumbe wa kurubuniwa, likitokea jambo mtu wako wa Katibu amekusaliti lawama hupaswi kumpa mwanamke, huyo rafiki yako ndio anabeba full responsibility na kijeshi kesi uhaini ni kifo tu hakuna mbadala.

Ndio sababu kwenye sensa ya Wayahudi wanawake walikuwa hawahesabiwi unadhani ni kwa nini?
Hebu acheni kusingizia ujinga halafu unaita udhaifu. Mwanamke anayefanya haya ni mjinga period.
 
Hizo si sababu, tangu kale wanawake katili walikuwepo, mfano kisa cha Samson lakini isiwe kisingizio cha kuhalalisha ushoga,, hapa hamumkomoi mwanamke ila mnajikomoa nyie wenyewe na kwa mwenye akili hawezi kuhalalisha hilo hata kuliwaza tu
No, hilo neno umelisema wewe, mimi sijalisema.

Nikisema wanawake version 2 namaanisha trans woman, siongelei mashoga hapa.

Wanaodate na trans women wanasema hawa ni wanawake na nusu
 
WOSIA batili.

Wosia ni utashi na maamuzi ya marehemu juu ya mambo aliyo na mamlaka nayo 100% na yanayokubalika kisheria.

Ukifa nyumba inakuwa ya mjane, na mjane hataki kaburi mlangoni. Huna haki ya wosia kutaka kuzikwa hapo.

Na huwezi kusema nikifa mke asiuze nyumba wala asipake rangi ya kijivu wala asiingize ndani ki ben 10. Nyumba si yako tena!

Mjane kata rufaa.
Upo timamu wewe?
 
Cc: Liverpool VPN one down roger that?
Hakuna cha one man down

Mke sio ndugu yako

Shida madogo hawaelewi hili swala

Nashauri watu waoe Ila waoe watu wenye akili sio kuoa Kwa matamanio ya macho oa mtu anayeweza kutunza familia na kutunza Siri zenu na mwenye utu either mzuri au mbaya maana kuna watu wanadhani wanawake wabaya ndo wana roho nzuri kuna watu ni wabaya kama sura zao na hapo ndipo unajua sura ni roho pia 😂
 
No, hilo neno umelisema wewe, mimi sijalisema.

Nikisema wanawake version 2 namaanisha trans woman, siongelei mashoga hapa.

Wanaodate na trans women wanasema hawa ni wanawake na nusu
😂😂😂Unachekesha sana jinsi ambavyo umejikana halafu ukatetea kitu kilekile, anzisha mada tutajadili hilo hapa sio mahali pake
 
Bado tunasisitiza vijana kuoa wanawake wa saizi zao wataoweza kuwamudu, ndugu zangu tusiangalie Tako, sijui mweupe, sijui pisi Kali, jiangalie na uwezo wako wa kumudu hayo mengine ni ziada, lakini ukiangalia hayo, ukiyumba kidogo tu utachapiwa mpaka ndani kwako, ukijifanya uko bize kumtafutia aishi vizuri Bado utachapiwa, akiona unambana bana ndio kama hivyo anakupiga tukio, hebu waza hapa duniani unapitia mateso, huzuni, msongo wa mawazo, ukifa bado ukutane na bakora(Kwa mujibu wa Muslim), au ziwa la moto (Kwa mujibu was christian) utaponea wapi sasa, yaani ukichimama nchale, ukichuchumaa nchale, ukikaa nchale
Mbona tiba ipo. Nayo ni kuacha shobo.
 
Ni UPUMBAVU wa UKRISTO. Uislam hauna huo muda wa sijui tusubiri nini mara vile, ni tunazika na chap mtu anastirika, kuna vitu mnataka kuendekeza havina maana. Ushawahi sikia ujinga kama huo kwa waislam??

Ila kwenye Ukristo utasikia kila sehemu, wala sio wachaga peke yao, Mnawaonea tu ishu hapo ni ujinga wa Dini yenu.

Wekeni misingi imara na sheria imara, MFALME WA OMAN anakufa saa 1 asubuhi na saa 7 mchana anazikwa iwe huyo boya asiyekuwa hata na uhakika wa kuwa na boxer 100??
Na huo ni upumbavu pia wa uislamu kuzika haraka haraka
 
Back
Top Bottom