Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Kikubwa tu jua unacho ona sahihi kwako sio sahihi kwa mwenzako.... Kila mtu abaki na uhuru wake.... Ukiona ukristo ni upumbavu na mimi naweza kuuona uislam kwa namna ambayo nikiitaja italeta tafrani.... We kufa sa moja uzikwe sa mbili mi nife January nizikwe December inakugarimu nini????? Fata yanayo kuhusu
Mshenzi sana
 
na hili la kuogopa kuzikwa kijijini kwenu ni matokeo ya kutoweka mazingira sawa, unatamba mjini unavimba unaonekana wewe ni mtu , msala sasa unapokufa wewe au unapopatwa na msiba na mnatakiwa kwenda kijijini kwenu ndipo aibu unakutana nayo, nashukuru babu yangu alijenga huko kijijini miaka hiyo ya ukoloni but nyumba zina quality kubwa sana ni ukarabati mdogo mdogo tu unafanyika
 
Na mume hio mimafuta michumvi misukari anaigida tu kama msukule 😆
Wanaume wengi hawajui kufatilia ishu za misosi wao wake zao wakitenga anaamini kila kitu kipo sawa, mavyakula ya viwandani nayo anakupakia kwa wingi, kinachoanza ni kupungua nguvu za kiume, then sukari, unakuwa sanamu la kiume anakutawala unapata sonona unakufa, maisha yameisha anajimwaya mwaya na mali
 
Kuna jamaa aliwahi kusema kuwa makini sana na mtu anaejua unaweka wapi mswaki wako au anaekuandalia chakula, wengi tunamalizwa bila kujijua
 
Mie ingekuwa ndo ndugu ningependekeza kaburi liwe karibu kabisa na nyumba ambapo kwa namna yoyote halitenganishwi na nyumba. Huyo dhamira yake n kuuza tu hiyo nyumba
 
Back
Top Bottom