Mshenzi sanaKikubwa tu jua unacho ona sahihi kwako sio sahihi kwa mwenzako.... Kila mtu abaki na uhuru wake.... Ukiona ukristo ni upumbavu na mimi naweza kuuona uislam kwa namna ambayo nikiitaja italeta tafrani.... We kufa sa moja uzikwe sa mbili mi nife January nizikwe December inakugarimu nini????? Fata yanayo kuhusu
Unagawana tu mali kitu ganiHao viumbe ukishazaa nao huna ujanja tena mkuu.
maana ukimuacha wakati amekuzalia inabidi mgawane mali pasu kwa pasu
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Wewe haupo hivo?Jamaa alikuwa mpole sana na mstaarabu
Mimi siwezi jielezea ila huwa sipendi ujinga tu.Wewe haupo hivo?
we maku ushaambiwa huyo mwanamke ni msukuma. hivi kwanini mnapenda kuhusisha makabila kwenye matukioIn short mwanamke alitaka auze nyumba maana hata wakati maiti imefika walijifungia ndani. Hao ndio wanawake wa kichaga
Inaumiza sana mkuu ukifikiria jinsi ulivyosota kukesha usiku na mchana kusaka pesa na kuanza ujenzi kisha leo hii uje kugawana na mtu ambaye mmejuana ukubwani,kazi yake ni kupika tu na kukaa sofani kuangalia tamthilia inauma mno.Unagawana tu mali kitu gani
Sawa kaka. Mimi ni mpole na napenda ustaarabu mno na utulivu kwenye mahusiano. Imagine kaka nina demu mlokole hata ku kiss tako naona ni uhuni. Kuchezea matiti napo ni kwa kuibia ibia mno.Mimi siwezi jielezea ila huwa sipendi ujinga tu.
Hahahah hongera sana kijana, nenda nae taratibu atakuwa mke mwema huyo 🤣Sawa kaka. Mimi ni mpole na napenda ustaarabu mno na utulivu kwenye mahusiano. Imagine kaka nina demu mlokole hata ku kiss tako naona ni uhuni. Kuchezea matiti napo ni kwa kuibia ibia mno.
Nakosa vingi sana kwa kuwa napenda democracy/fair play kwenye mahusiano.Hahahah hongera sana kijana, nenda nae taratibu atakuwa mke mwema huyo [emoji1787]
Na mume hio mimafuta michumvi misukari anaigida tu kama msukule 😆Mbinu nyingine nasikia ni vyakula,, mke anakuwa anakupikia mimafuta, sukari chumvi za kutosha ili upate kisukari, uumwe ufe, hii mbinu ni ngumu sana kuigundua
Ukienda hivyo utaumia🤣Nakosa vingi sana kwa kuwa napenda democracy/fair play kwenye mahusiano.
Kutoka hapo kiharaka hadi mwenge dk 30 - 40 tuuMhhhh kazi ipo...hivi siku hizi mtu unaweza ukawa unafanya kazi Daslamu na makazi Bagamoyo eee... kweli mji umekua
Wanaume wengi hawajui kufatilia ishu za misosi wao wake zao wakitenga anaamini kila kitu kipo sawa, mavyakula ya viwandani nayo anakupakia kwa wingi, kinachoanza ni kupungua nguvu za kiume, then sukari, unakuwa sanamu la kiume anakutawala unapata sonona unakufa, maisha yameisha anajimwaya mwaya na maliNa mume hio mimafuta michumvi misukari anaigida tu kama msukule 😆
Kuna jamaa aliwahi kusema kuwa makini sana na mtu anaejua unaweka wapi mswaki wako au anaekuandalia chakula, wengi tunamalizwa bila kujijuaWanaume wengi hawajui kufatilia ishu za misosi wao wake zao wakitenga anaamini kila kitu kipo sawa, mavyakula ya viwandani nayo anakupakia kwa wingi, kinachoanza ni kupungua nguvu za kiume, then sukari, unakuwa sanamu la kiume anakutawala unapata sonona unakufa, maisha yameisha anajimwaya mwaya na mali
Mke ni mtu wa karibu sana, akiwa na nia ovu km huyu mjane basi ndo hivyo unaongezwa kwenye history tuKuna jamaa aliwahi kusema kuwa makini sana na mtu anaejua unaweka wapi mswaki wako au anaekuandalia chakula, wengi tunamalizwa bila kujijua
Hebu maliza hiyo habari. Baada ya kukuta geti limefungwa wamechukua hatua gani? Kwa hiyo mazishi hayakufanyika?