miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Lazima kwa ndugu kitawaka aisee. Lazima watamletea kwere. Yataibuka mapya hapo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Atapapiga level kisha atalifuta na udongo
Asante chief.UGONI sio kesi kwa sheria za Tanzania. Mwanamke ku chiti hakufuti haki miliki yake ya nyumba ya wanandoa iitwayo Joint Tenancy with Right of Survivorship.
Joint Tenancy with Right of Survivorship inahamisha haki zote za umiliki kwenda kwa mjane au mgane. Haigawanyi umiliki kama hisa, na hata kama ni jengo la apartment la uniit 20 huwezi kusema unit 10 au hata moja ni yangu nampa mwanangu nikiwa hai au nimekufa.
Na wote tunafahamu mkataba wa mauzo ya nyumba ya wanandoa bila idhini na saini ya mwenzio ni mkataba batili.
Sasa uko hai huna maamuzi, ukifa ndio unao? Ukifa huna chako! Huwezi kuandika wosia juu ya kitu ambacho sio chako peke yako. Utazikwaje kwenye ki garden mlangoni kwa nyumba ya mwenzio?
Mkuu amesha maanisha kuwa anajua atakufa mapema kabla ya mke wake.Kufa tutakuzika popote sio unaacha maagizo kibao bila hata nauli
PumbaTuishi nao kwa akili hili neno lina maana kubwa.
Mwanamke ni kiumbe dhaifu na ni kiumbe wa kurubuniwa, likitokea jambo mtu wako wa Karibu amekusaliti lawama hupaswi kumpa mwanamke, huyo rafiki yako ndio anabeba full responsibility na kijeshi kesi ya uhaini adhabu yake ni kifo tu hakuna mbadala.
Ndio sababu kwenye sensa ya Wayahudi wanawake walikuwa hawahesabiwi unadhani ni kwa nini?
... un/fortunately mfasiri wa sheria aka Mahakama imeshatoa amri na mhusika amezikwa kwenye "ki garden". Watamhamisha?....
Uko hai huna maamuzi, ukifa ndio unao? Ukifa huna chako! Huwezi kuandika wosia juu ya kitu ambacho sio chako peke yako. Utazikwaje kwenye ki garden mlangoni kwa nyumba ya mwenzio?
...
Huenda nawe hapo ulipo umeshalishwa sumu na unakufa taratibu.Kuna jamaa aliwahi kusema kuwa makini sana na mtu anaejua unaweka wapi mswaki wako au anaekuandalia chakula, wengi tunamalizwa bila kujijua
Ni masenge majanaume ya hivi. Yanatuaibisha mno qumerninner zao. Miqndu yaoWanaume wengi hawajui kufatilia ishu za misosi wao wake zao wakitenga anaamini kila kitu kipo sawa, mavyakula ya viwandani nayo anakupakia kwa wingi, kinachoanza ni kupungua nguvu za kiume, then sukari, unakuwa sanamu la kiume anakutawala unapata sonona unakufa, maisha yameisha anajimwaya mwaya na mali
Kwa hiyo wanaume Tusile Nyumbani kwetu???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume wengi hawajui kufatilia ishu za misosi wao wake zao wakitenga anaamini kila kitu kipo sawa, mavyakula ya viwandani nayo anakupakia kwa wingi, kinachoanza ni kupungua nguvu za kiume, then sukari, unakuwa sanamu la kiume anakutawala unapata sonona unakufa, maisha yameisha anajimwaya mwaya na mali
Tupe link basi mzee nasis tujionee na kujifunza@Nakadori huyu alifumaniwa na mume kitandani kwake?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuleni ila ukipewa vyakula hatarishi mfululizo shtuka, na hasa km hicho chakula yeye mkeo hashiriki kukilaKwa hiyo wanaume Tusile Nyumbani kwetu???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanamke ndo wa kulaumiwa ktk hilo,Ni masenge majanaume ya hivi. Yanatuaibisha mno qumerninner zao. Miqndu yao
Eee Mungu wangu kikombe hiki kiniepuke,nnavompenda mme wangu age nipate nguvu ya kwenda mahakamani??? Hizi ndoa jaman Zina Siri nzito saaanaBaadhi ya Waombolezaji kwenye msiba wa Kijana Henry Massawe aliyekuwa Mkazi wa Kiaraka Magengeni, Bagamoyo Mkoani Pwani, wamelazimika kuvunja geti la nyumbani kwa Marehemu ili kuingia kumzika baada ya kukuta geti hilo limefungwa huku Mke wake akiwa hajulikani alipo ikiwa ni muda mfupi tu baada ya Mahakama ya Bagamoyo kuamuru Marehemu azikwe Bagamoyo na sio Kilimanjaro kama alivyotaka Mkewe.
Kabla ya kuvunjwa kwa geti hilo Waombolezaji walikuwa wamekaa nje wakati wote na baada ya hapo wakaingia na kuuvunja pia mlango wa nyumba ya Marehemu ili mwili uingizwe sebuleni kama ilivyo taratibu za misiba ya kikristo.
Henry Massawe alifariki January 16, 2023 na mwili wake ulisubiri kuzikwa kwa wakati wote huo kutokana na mgogoro uliokuwepo baina ya Ndugu wa Marehemu waliotaka azikwe nyumbani kwake Bagamoyo huku Mke wa Marehemu akitaka azikwe Kilimanjaro kabla ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo Vedatus Mwalia kuamua kuwa Marehemu azikwe Bagamoyo.
Mahakama ya Bagamoyo mkoani Pwani leo January 24 2023 kuamuru mwili wa Henry Massawe kuzikwa nyumbani kwake Kiaraka, Bagamoyo kama watakavyo Ndugu zake na kutupilia mbali hoja za Mke wake aliyetaka akazikwe Mkoani Kilimanjaro.
Ndugu Jamaa na Marafiki waliojitokeza kwa ajili ya maziko ya Marehemu Henry wamekuta geti la nyumbani kwake limefungwa huku ikielezwa kuwa Mkewe hajulikani alipo.
Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Hilo jina si la kisukuma mkuu, ni jina la wanyakyusa hilo.Huyu mwanamke sio mchaga jaman ni msukuma. Wasukuma mmefikiwa jaman
Hivi ukishakuwa na ndoa mwenye haki ya kuzika ni mke au ndugu wa mume?
Naona kama umetukana bila sababu hivi.
Wenye wajibu wa kuzika ni ndugu, mke Hana mamlaka mumewe azikwe wapi ila mwanamke akifa mumewe ndio mwenye mamlaka
Sio kweli nini? Kwamba hata angeenda kuzikwa huko Moshi ni mke wake ambaye angemzika au ndugu??Sio kweli!
Masawe aliacha waraka ndio maana ili bidi ufuatwe kama alivyotaka marehemu!
Hizo sio taratibu za wachaga.Mtu akishakuwa ni mume/mke wa mtu halali mwenzie akitangulia all alobaki ndio wa kupanga ni wapi mume/mke wangu atazikwa! Sio ndugu......ndugu kuingilia kupanga flani azikiwe wapi ndio wana jambo lao
Ni lisukuma lile jianamke. Wanawake wakisukuma bora wachaga.Hawa ndio wanafanya wanawake wa kichaga waonekane wauaji