Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

UGONI sio kesi kwa sheria za Tanzania. Mwanamke ku chiti hakufuti haki miliki yake ya nyumba ya wanandoa iitwayo Joint Tenancy with Right of Survivorship.

Joint Tenancy with Right of Survivorship inahamisha haki zote za umiliki kwenda kwa mjane au mgane. Haigawanyi umiliki kama hisa, na hata kama ni jengo la apartment la uniit 20 huwezi kusema unit 10 au hata moja ni yangu nampa mwanangu nikiwa hai au nimekufa.

Na wote tunafahamu mkataba wa mauzo ya nyumba ya wanandoa bila idhini na saini ya mwenzio ni mkataba batili.

Sasa uko hai huna maamuzi, ukifa ndio unao? Ukifa huna chako! Huwezi kuandika wosia juu ya kitu ambacho sio chako peke yako. Utazikwaje kwenye ki garden mlangoni kwa nyumba ya mwenzio?
Asante chief.

Hapa napata somo moja tu,
KATAA NDOA, NDOA NI KIFUNGO,
 
Tuishi nao kwa akili hili neno lina maana kubwa.

Mwanamke ni kiumbe dhaifu na ni kiumbe wa kurubuniwa, likitokea jambo mtu wako wa Karibu amekusaliti lawama hupaswi kumpa mwanamke, huyo rafiki yako ndio anabeba full responsibility na kijeshi kesi ya uhaini adhabu yake ni kifo tu hakuna mbadala.

Ndio sababu kwenye sensa ya Wayahudi wanawake walikuwa hawahesabiwi unadhani ni kwa nini?
Pumba
 
Sisi binadamu kweli kila mtu ana mabaya yake, mwenzetu sijui ana shetani ndani yake!!!
Kitendo cha mumewe hata kuzikwa bado, kishapanga nyumba nini cha kufanya!!!
Huyu alikuwa na malengo yake, muda mrefu. Yeye na mama yake wakibinywa vizuri, wataeleza vizuri njama zao kwa mkaka wa wa watu.

Haya kesi kapoteza na mume anazikwa kwake, angejikaza tu akashiriki kumzika mumewe angalau.
Unajaribu kupata picha ya watu wake wa karibu, washauri wake ni watu wa aina gani.
Kabla ya kuoa na kuolewa, tuombe sana Mungu, kila mtu kwa Imani yake, akupe mke au mume aliyekupangia.
 
....
Uko hai huna maamuzi, ukifa ndio unao? Ukifa huna chako! Huwezi kuandika wosia juu ya kitu ambacho sio chako peke yako.
Utazikwaje kwenye ki garden mlangoni kwa nyumba ya mwenzio?
...
... un/fortunately mfasiri wa sheria aka Mahakama imeshatoa amri na mhusika amezikwa kwenye "ki garden". Watamhamisha?
 
Wanaume wengi hawajui kufatilia ishu za misosi wao wake zao wakitenga anaamini kila kitu kipo sawa, mavyakula ya viwandani nayo anakupakia kwa wingi, kinachoanza ni kupungua nguvu za kiume, then sukari, unakuwa sanamu la kiume anakutawala unapata sonona unakufa, maisha yameisha anajimwaya mwaya na mali
Ni masenge majanaume ya hivi. Yanatuaibisha mno qumerninner zao. Miqndu yao
 
Wanaume wengi hawajui kufatilia ishu za misosi wao wake zao wakitenga anaamini kila kitu kipo sawa, mavyakula ya viwandani nayo anakupakia kwa wingi, kinachoanza ni kupungua nguvu za kiume, then sukari, unakuwa sanamu la kiume anakutawala unapata sonona unakufa, maisha yameisha anajimwaya mwaya na mali
Kwa hiyo wanaume Tusile Nyumbani kwetu???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baadhi ya Waombolezaji kwenye msiba wa Kijana Henry Massawe aliyekuwa Mkazi wa Kiaraka Magengeni, Bagamoyo Mkoani Pwani, wamelazimika kuvunja geti la nyumbani kwa Marehemu ili kuingia kumzika baada ya kukuta geti hilo limefungwa huku Mke wake akiwa hajulikani alipo ikiwa ni muda mfupi tu baada ya Mahakama ya Bagamoyo kuamuru Marehemu azikwe Bagamoyo na sio Kilimanjaro kama alivyotaka Mkewe.

Kabla ya kuvunjwa kwa geti hilo Waombolezaji walikuwa wamekaa nje wakati wote na baada ya hapo wakaingia na kuuvunja pia mlango wa nyumba ya Marehemu ili mwili uingizwe sebuleni kama ilivyo taratibu za misiba ya kikristo.

Henry Massawe alifariki January 16, 2023 na mwili wake ulisubiri kuzikwa kwa wakati wote huo kutokana na mgogoro uliokuwepo baina ya Ndugu wa Marehemu waliotaka azikwe nyumbani kwake Bagamoyo huku Mke wa Marehemu akitaka azikwe Kilimanjaro kabla ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo Vedatus Mwalia kuamua kuwa Marehemu azikwe Bagamoyo.

Mahakama ya Bagamoyo mkoani Pwani leo January 24 2023 kuamuru mwili wa Henry Massawe kuzikwa nyumbani kwake Kiaraka, Bagamoyo kama watakavyo Ndugu zake na kutupilia mbali hoja za Mke wake aliyetaka akazikwe Mkoani Kilimanjaro.

Ndugu Jamaa na Marafiki waliojitokeza kwa ajili ya maziko ya Marehemu Henry wamekuta geti la nyumbani kwake limefungwa huku ikielezwa kuwa Mkewe hajulikani alipo.
Eee Mungu wangu kikombe hiki kiniepuke,nnavompenda mme wangu age nipate nguvu ya kwenda mahakamani??? Hizi ndoa jaman Zina Siri nzito saaana
 
Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.

DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Hapo mwanzoni inasemekana JamiiForums ilikuwa ni uwanja wa watu wenye akili sana, lakini kwa sasa mpo nyie vijana mnaopata masifuri huko shuleni. Yani hata kuchunguza ujue kama huyo mke ni Mchaga au sio Mchaga nalo limekushinda?
 
Mtu akishakuwa ni mume/mke wa mtu halali mwenzie akitangulia all alobaki ndio wa kupanga ni wapi mume/mke wangu atazikwa! Sio ndugu......ndugu kuingilia kupanga flani azikiwe wapi ndio wana jambo lao
Hizo sio taratibu za wachaga.
 
Back
Top Bottom