Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Ila ukimsainisha mke wako Pre-nup contract kabla ya ndoa, ukaweka terms kuhusu mali zako, hio si inakua favourable kama mtaachana? na vp inaruhusiwa kwa sheria za Tanzania?
Mwanamke gani wa kibongo atakubali kusaini akose Mali?, Wengi wanafuata Mali kwako si dudu maana kama ni dudu mbona wanakua wanazo nyingi tu b4 ww
 
Pamoja na yote hayo DeepPond kuchepuka haachi ng'o😂😂

Wanatuchukuliaga poa sana ila wangejua mioyo yetu ikichafukwa ni zaidi ya shetani mwenye mapembe
 
Sheria za au maamuzi ya mahakama za Tz huwa zinaniacha hoi!
Wenzetu walioendelea, wanamheshimu Sana mume au mke wa mtu, kuliko hata wazazi na ndugu zake.
Hapa kwetu ni kinyume kabisa! Huyu mke anadharauliwa, na hapo mume kazikwa bila ya mkewe kuwepo, mke wa Mengi naye anadharauliwa, wosia wa marehemu unadharauliwa, ni nini maana ya sheria kwa Tz?!!
 
Hivi ukishakuwa na ndoa mwenye haki ya kuzika ni mke au ndugu wa mume?

Naona kama umetukana bila sababu hivi.
Yaani kwa Tz hizi tafsiri za sheria hazina mantiki kabisa, na ina shangaza jinsi jamii inavyoshadadia kudhalilishwa kwa mke wa mhusika!
 
RIP Dr Mengi
 
Naona tz kuna maeneo sheria hazifanyi kazi bali utamaduni uliozoeleka na watu
 

haya ameandika albert msando kwenye post ya millard!! mtu mmoja mtu mmoja[emoji38] mashuhuri mashuhuri
 
Kwani hawana Roho mbaya mkuu, mimi wawili tu nilikutana nao wamenishinda wanapenda hela balaa
Umekutana nao tu, hukuishi nao, na bado unajiona Una haki ya kutoa shutuma nzito za mauaji?
 
Mwanamke gani wa kibongo atakubali kusaini akose Mali?, Wengi wanafuata Mali kwako si dudu maana kama ni dudu mbona wanakua wanazo nyingi tu b4 ww

Dawa yao
Sisi ni waafrica.

Sheria zetu za ndoa na mirathi. Zimechanganywa uzungu kidogo na taratibu za kimila kidogo.

Mahakama ama sheria inafata mila pia za wanandoa.

Mila zetu nyingi mke hana mamlaka ya kuamua mume wake azikwe wapi
 
Mtu akishakuwa ni mume/mke wa mtu halali mwenzie akitangulia all alobaki ndio wa kupanga ni wapi mume/mke wangu atazikwa! Sio ndugu......ndugu kuingilia kupanga flani azikiwe wapi ndio wana jambo lao
Wenye wajibu wa Mume azikwe wapi ni ndugu, na Mwenye wajibu mke azikwe wapi ni mume
 
J
Kazi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…