Ndio Iko hivyo mkuu ndio maana unaona hata mahakama imetupilia mbali hoja za mwanamke kwanini akomalie akazikwe Moshi, yeye anaamua kama nani ilihali marehemu ametaka azikwe kwakee?Upo sahihi mkuu, wenye haki ya kuzika ni upande wa mume yaan ndugu zake, Ila mke akifa mume ndio ataamua kwa kumzika mkewe
Yes kweli mkuu Mahakama ipo sahihi,Ndio Iko hivyo mkuu ndio maana unaona hata mahakama imetupilia mbali hoja za mwanamke kwanini akomalie akazikwe Moshi, yeye anaamua kama nani ilihali marehemu ametaka azikwe kwakee?
Manka kaona fursa ya kupangusha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Hao wamachame wamewaharibia wachaga wote, me nikimuona mwanamke yeyote wa kichaga namuona ndio walewale.Sio wote hila wamachame ndio wanauwa wake zao
Hao wamachame wamewaharibia wachaga wote, me nikimuona mwanamke yeyote wa kichaga namuona ndio walewale.
Dooh, me wanawake wanaonibamba ni wa pwani kama kule kwetu Tanga mjini, Pangani, Mafia na Bagamoyo, Kisarawe na kusini, hawa wa kaskazini siwaelewi kabisaMimi nishadate na mchaga wa old moshi nikawa namtania alikuwa anachukia japo alinicheat akabeba mimba uko
Hila mwanamke wa kimachame muogope sana akishajua hapa pesa hipo kifo kinakuhusj
Huyu mwanamke mbona msukuma...Hao wamachame wamewaharibia wachaga wote, me nikimuona mwanamke yeyote wa kichaga namuona ndio walewale.
Ndio maana nasema Ndoa Ni Utapeli mtupu na Ubinafsi mkubwa sanaHaiko hivyo mkuu, mume akifa ukisikia anaenda kuzikwa kwao ujue anaenda alikozaliwa ambako mke hana uhalali nako, hivyo ndugu wa mume watahusika mwanzo mwisho, na mke siku zote anazikwa na mume wake(hapo mwanaume ndiye anaamua mke wake azikwe wapi) hapo mambo ya haki au gender balance hayapo
So wameshazikaa??WAFIWA WAMEONA ISIWE TABU WAMEMUWEKEA MKE UA LAKE MLANGO AKIJA AMALIZIE KUZIKA. WAKAMUINGANISHIA NA BANGO[emoji119][emoji22] “MTAKA NYINGI NASABA HUPATA MINGI MISIBA”View attachment 2494264View attachment 2494265
Kwa mujibu wa mashuhuda mkewe alisema ana mpango wa kuipangisha nyumba hiyo kwa wazungu, hivyo uwepo wa kaburi la mumewe tena mbele ya nyumba hiyo utazuia mipango yake. Hivyo akaamuru mwili usafirishwe akazikwe kwao Moshi.Baadhi ya Waombolezaji kwenye msiba wa Kijana Henry Massawe aliyekua Mkazi wa Kiaraka Magengeni, Bagamoyo Mkoani Pwani, wamelazimika kuvunja geiti la nyumbani kwa Marehemu ili kuingia kumzika baada ya kukuta geiti hilo limefungwa huku Mke wake akiwa hajulikani alipo ikiwa ni muda mfupi tu baada ya Mahakama ya Bagamoyo kuamuru Marehemu azikwe Bagamoyo na sio Kilimanjaro kama alivyotaka Mkewe.
kabla ya kuvunjwa kwa geiti hilo Waombolezaji walikua wamekaa nje wakati wote na baada ya hapo wakaingia na kuuvunja pia mlango wa nyumba ya Marehemu ili mwili uingizwe sebuleni kama ilivyo taratibu za misiba ya kikristo.
Henry Massawe alifariki January 16, 2023 na mwili wake ulisubiri kuzikwa kwa wakati wote huo kutokana na mgogoro uliokuwepo baina ya Ndugu wa Marehemu waliotaka azikwe nyumbani kwake Bagamoyo huku Mke wa Marehemu akitaka azikwe Kilimanjaro kabla ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo Vedatus Mwalia kuamua kuwa Marehemu azikwe Bagamoyo ,
Mahakama ya Bagamoyo mkoani Pwani leo January 24 2023 kuamuru mwili wa Henry Massawe kuzikwa nyumbani kwake Kiaraka, Bagamoyo kama watakavyo Ndugu zake na kutupilia mbali hoja za Mke wake aliyetaka akazikwe Mkoani Kilimanjaro, Ndugu Jamaa na Marafiki waliojitokeza kwa ajili ya maziko ya Marehemu Henry wamekuta geti la nyumbani kwake limefungwa huku ikielezwa kuwa Mkewe hajulikani alipo,
Wamevunja na kuingia kuzika mke kakimbia alifunga geti kama ishara ya kuwazuia ..Ina maana wakati ya mazishi mke hakuwepo maana hakutaka azikiwe hapo kwake.Hebu maliza hiyo habari. Baada ya kukuta geti limefungwa wamechukua hatua gani? Kwa hiyo mazishi hayakufanyika?
Dooh, me wanawake wanaonibamba ni wa pwani kama kule kwetu Tanga mjini, Pangani, Mafia na Bagamoyo, Kisarawe na kusini, hawa wa kaskazini siwaelewi kabisa
Mkuu kwani shetani ana tamaa na mali?Wanawake wengine wana tamaa ya mali kuliko shetani mwenyewe.
Kumbe wamekremu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mwanamke sio mchaga jaman ni msukuma. Wasukuma mmefikiwa jaman
Kama kulikuwa na wosia basi hakuna namna. Ni heri kutimiza takwa la marehemuKambaku;
Nadhani hakimu alizingatia wosia wa marehemu. Ikiwa mke ana "nguvu" kuwashinda ndugu wa marehemu anaweza kuchagua pahala pa kuzika. Lakini mara nyingi sana mke huwa mshindwa katika hili,sijui kwa nini!
Kila shetani na mbuyu wake mkuu.Mkuu hongera mimi hao siwaelewi hata kidogo
Walvunja geti wakaendelea na mazishiHebu maliza hiyo habari. Baada ya kukuta geti limefungwa wamechukua hatua gani? Kwa hiyo mazishi hayakufanyika?