Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Nimeona mkuu, nimeshachutama.Umekuripoka wewe soma vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona mkuu, nimeshachutama.Umekuripoka wewe soma vizuri
Mnakurupuks wajomba meanamke ni msukuma rudieni kusoma tena
Umekuripoka wewe huyo ni msukuma rudia kusoma habari yoteDooh, me wanawake wanaonibamba ni wa pwani kama kule kwetu Tanga mjini, Pangani, Mafia na Bagamoyo, Kisarawe na kusini, hawa wa kaskazini siwaelewi kabisa
Umekuripuka wewe huyo ni msukuma habari yoteMi yalinikuta kwa hao Wachaga nilibaki kimbaumbau kidogo nidanje, sijui nilitoka vipi ktk lile dimbwi la mauti [emoji849]
Asante sana Mungu kuniokoa [emoji2960]
Umekuripuka wewe huyo ni msukuma soma habari yoteHapana inaweza kua sio kweli kama navyo waza , nilishakua na mwanamke wa old moshi nikazaa nae mtoto mmoja ,, mambo yalivyo badirika akasepa ,
Umekuripuka wewe huyo ni msukuma soma habari yoteHawa ndio wanafanya wanawake wa kichaga waonekane wauaji
Umekuripuka wewe huyo ni msukuma soma habari yoteKwani hawana Roho mbaya mkuu,mimi wawili tu nilikutana nao wamenishinda wanapenda hela balaa
Wala huyo mwanamke sio mchaga. Ni msukumaManka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Janeth IkuyumbaKifo cha Henry ikute kauliwa na mkewe .Mkewe may be lengo lake lilikuwa ni kuuza nyumba. Mkewe anaitwa nani vile ?Full name please.
DUh kumbe mambo yameanzia mbaliMarehemu alishaacha wosia azikwe bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mimewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange
Ndio.DUh kumbe mambo yameanzia mbali
apumzike kwa amani, ila hii dunia kuna watu hawana utu kabisa kisa mali ambazo kimsingi atakufa na ataziachaNdio.
Mkaka wa watu msongo umemmalizaa
Ilikuwa kipindi gani?Nikaone kwa Mange instagram.Marehemu alishaacha wosia azikwe bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mimewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange
Hata mzozo ulipoanza amepost. We scroll chini utaona tu ameandika hiyo story. Nimescreenshot imekataaIlikuwa kipindi gani?Nikaone kwa Mange instagram.