Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Ila ukimsainisha mke wako Pre-nup contract kabla ya ndoa, ukaweka terms kuhusu mali zako, hio si inakua favourable kama mtaachana? na vp inaruhusiwa kwa sheria za Tanzania?
HATUZITAMBUI pre-nuptial agreements hapa Tanzaunia, na hakuna kesi iliyowahi kuendeshwa kwa vigezo vya pre-nup agreements au kuainisha vigezo vinavyotakiwa kuandika pre-nup agreements. That is the long and short of it.

Kwa upande wa mali ardhi sheria zinaweka bayana jinsi ya kugawana na kutapanya mali ya marehemu au mtaliki. Mkataba wa
Pre-nup utakaojaribu kuipandia kichwani sheria ya nchi utakuwa batili.


Sheria inakataza kumpoka mtaliki au mjane mali ya wanandoa, matrimonial property. Kujenga kaburi mlango wa mbele ni kumpoka mjane mali yake, pre-nup haiwezi kutumika kufanikisha uharamia huo.
 
N
Enaseketesha sanaaa sijui sukuma la wapi hilo...sjui nyatuzuu
Sura ya kinyantunzu hyo...yana roho mbaya kinouma yani...kuna moja hilo nlikuwa nmepanga kwke yaan linajikuta ni lisabato ila lina roho mbaya mtaa mzima kila mtu analidiss
 
N
Sura ya kinyantunzu hyo...yana roho mbaya kinouma yani...kuna moja hilo nlikuwa nmepanga kwke yaan linajikuta ni lisabato ila lina roho mbaya mtaa mzima kila mtu analidiss
Hapo kwenye lisabato hapoo
Mungu awaepushe wanaume wote na miwanawake yenye roho za simba 🦁
 
Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.

DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Utu gani tena kwa marehemu, mke yuko sahihi mtoto atatunzwa vp iwapo kitegauchumi kitakuwa na vikwazo
 
Mi sichepuki kufata upendo,
Upendo kwako wife uko pale pale,
Kuchepuka Ni starehe TU Kama zilivo pombe na sigara
Wanawake wote tunaamini mkichepuka ni hamtupendi,, utajielezea sana lakini ukiumiza hisia za mwanamke akadhamiria kulipa kisasi,,,,,, utajuta/utakufa naishia hapa
 
Baadhi ya Waombolezaji kwenye msiba wa Kijana Henry Massawe aliyekuwa Mkazi wa Kiaraka Magengeni, Bagamoyo Mkoani Pwani, wamelazimika kuvunja geti la nyumbani kwa Marehemu ili kuingia kumzika baada ya kukuta geti hilo limefungwa huku Mke wake akiwa hajulikani alipo ikiwa ni muda mfupi tu baada ya Mahakama ya Bagamoyo kuamuru Marehemu azikwe Bagamoyo na sio Kilimanjaro kama alivyotaka Mkewe.

Kabla ya kuvunjwa kwa geti hilo Waombolezaji walikuwa wamekaa nje wakati wote na baada ya hapo wakaingia na kuuvunja pia mlango wa nyumba ya Marehemu ili mwili uingizwe sebuleni kama ilivyo taratibu za misiba ya kikristo.

Henry Massawe alifariki January 16, 2023 na mwili wake ulisubiri kuzikwa kwa wakati wote huo kutokana na mgogoro uliokuwepo baina ya Ndugu wa Marehemu waliotaka azikwe nyumbani kwake Bagamoyo huku Mke wa Marehemu akitaka azikwe Kilimanjaro kabla ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo Vedatus Mwalia kuamua kuwa Marehemu azikwe Bagamoyo.

Mahakama ya Bagamoyo mkoani Pwani leo January 24 2023 kuamuru mwili wa Henry Massawe kuzikwa nyumbani kwake Kiaraka, Bagamoyo kama watakavyo Ndugu zake na kutupilia mbali hoja za Mke wake aliyetaka akazikwe Mkoani Kilimanjaro.

Ndugu Jamaa na Marafiki waliojitokeza kwa ajili ya maziko ya Marehemu Henry wamekuta geti la nyumbani kwake limefungwa huku ikielezwa kuwa Mkewe hajulikani alipo.
Wachagga kawaida sana kugombea maiti.
 
Hawakushtakiana.
Yule mume yeye hakujua kama ndugu(sehemeji zake) wanawaza tofauti ila alipoulizwa tu unazika mkeo wapi akajibu pale (yani kwenye ile gesti) ndugu wakasapoti lakini wao walimuuliza kwa kumtega. Walishaongea kabla kuhusu swala la mazishi ya dada yao kwamba lazima iwe hapo.
kuna watu wenye roho mbaya sana
 
Inaweza kuwa pia jamaa alishauriwa sana hapo utapigwa akakaza shingo..
Inasikitisha sana na wala hawajali hapo unakuta kuna lijamaa lingine limeanza kujaa kilo hapo hapo...wapigwe tu..
Siyo kukaza shingo, anakwenda kukusemea kwa mke wake kwamba unawagombanisha.

Usimshauri mtu kumuacha mwanamke hata awe mbaya vipi, kama akili zipo atagunduwa mwenyewe au mwache afe ndio stahiri yake.
 
Sio uchagani tu... Wengi wenye maeneo makubwa wanatenga eneo la kuzikwa mapema kabisa....sio ushamba...kwani hata hayo maeneo ya public mji ukikuwa huwa wanafanyaje?? Hata sisi tunawashangaa wanao zikwa kwenye makaburi ya jumla kama wewe unavyo ona ushamba kuzika nyumbani.
Mji ukikua makaburi Huwa hayaguswi refer makaburi ya kisutu,sinza,kinondoni yako katikati ya jiji au Yale ya redcross.Jamaa anasema ukweli hili la kuzika majumbani sio sahihi kabisa na wachaga wanaongoza Kwa Hilo.Lazima mjue umiliki wa ardhi Tanzania sio permanent ni kama umekodishwa na serikali ambayo inaweza kubadilisha matumizi mda wowote au kumpa mwingine.
 
Mji ukikua makaburi Huwa hayaguswi refer makaburi ya kisutu,sinza,kinondoni yako katikati ya jiji au Yale ya redcross.Jamaa anasema ukweli hili la kuzika majumbani sio sahihi kabisa na wachaga wanaongoza Kwa Hilo.Lazima mjue umiliki wa ardhi Tanzania sio permanent ni kama umekodishwa na serikali ambayo inaweza kubadilisha matumizi mda wowote au kumpa mwingine.
Basi sisi wengine tutaendelea kufanya hivyo mpaka hapo..... Wewe kazikwe huko usaidie serikali.
 
Back
Top Bottom