Bagamoyo Port construction set to kick off in January 2018. China and Oman to fund the project

Bagamoyo Port construction set to kick off in January 2018. China and Oman to fund the project

Jamaa wanataka kufanya vitu 100 kwa wakati mmoja

Ova
 
Nchi haiendeshwi kama vicoba.huwezi kuniambia nishike linalonihusu kama wameshindwa kuongoza wakae pembeni.
CCM imechokwa nchi nzima
halafu wachukue chadema? au jeshi? labda jeshi sio hao manyang'au watauza mpaka sisimizi, unamchezea mariyenge ataonga mererani yote kwa madame
 
Vile vizee vya mlingotini vimekubaliana na huo mradi? Maana kwa kufungisha breki maendeleo na wa vulia balakashia. Duh!
 
Ndani ya miaka 50.
Hyo bandari itaendeshwa na wachina na Hao waarabu
 
hivi wananchi tushike lipi? mlipoingia ikulu tu Ikatangazwa ujenzi umesitishwa na serikali ya awamu ya Dikteta uchwara. leo mnakuja na stori ya ujenzi kuanza januari 2018 hivi mna mipango kweli nyie nzi wa kijani?
Changamkia fursa. Siasa haziweki msosi mezani
 
The biggest mistake ever..... Mchina ni sawa na ngamia ukimkaribisha aingize kichwa kibandani kwako kujikinga na jua.. Yeye ataingiza hadi mwili wote
 
Nchi haiendeshwi kama vicoba.huwezi kuniambia nishike linalonihusu kama wameshindwa kuongoza wakae pembeni.
CCM imechokwa nchi nzima
Nenda kwenye media toa hizo hoja zako zikiwa na mashiko tutaandamana kuona huo uongoz wako wenye akili timamu...kuongea kwa hasira huku jf ni sawa na kujifungia chumbani na kujamba mwenyew
 
Tunarudi tena kulekule na safari hii tumeleta ujuaji mwingi jamaa wametupiga kwa kuchukua hisa zoote.
 
Hakuna visionary leader kama JPM aliwapose kwanza ili aimarishe bandari ya Dar pamoja na nyingine sasa bandari zote zipo kwenye matengenezo kabambe ili zikikamilika ziweze compete na hii ya Bagamoyo ila watu hilo hawalioni.

Tungewekeza nguvu zetu zote Bagamoyo ambayo kwa asilimia kubwa itamilikiwa na muwekezaji sisi tunachukua kodi tu na kuziacha bandari zetu kwenye hali ya umauti bado Dangote nae alikua anataka apewe bandari binafsi huu ni upumbavu uliotukuka

In fact bandari ya Tanga itakua ndio bandari kinara katika mapato mengi hivyo serikali itanufaika na bandari zake Bagamoyo itakuwa zaidi na export cargo sababu ya heavy industries capacity itakayokua nayo.
 
unaponiambia siasa haziweki msosi mezani nimeshindwa kukuelewa.kwani mi nalala na njaa?
Mitandaoni buana...tunarelax na kujiongezea siku za kuishi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom