Bagamoyo Port: Serikali imewapa hisa zote wawekezaji wa Kichina

Bagamoyo Port: Serikali imewapa hisa zote wawekezaji wa Kichina

Hapa inahitajika elimu ya kutosha kwa wananchi kuhusiana na huu mradi..... Huu mradi unaweza kuwa na tija kwa nchi au ukawa ni majanga kwa nchi....
 
  • Under a three-way partnership signed with Oman and China in 2013, Tanzania was to get an undisclosed shareholding in the project by dint of raising $28 million for compensating landowners who were to be displaced.
Why is Tz share holding undisclosed? isije ikawa tutapa 0.001%
Financial constraints have forced Tanzania to miss out on ownership of the $10 billion Bagamoyo Port and Special Economic Zone project.
Ikiwa total value of the project ina julikana au inaweza kukadiriwa, kwa nini wahusika wasifanye hesabu ya sehemu ilikujua share holding yetu?
au ndio ilikuwa kama kwenyemikataba mingine ya share za Tz, kuwa nufaisha watu fulani?
 
Halafu atakuja rais mwingine wa maccm atatuambia kuwa "Ndugu zangu, huu mkataba wa bandari tumeibiwa mno. Watu wameingia mikataba ya kipumbavu,kijinga. Nawaambieni kwa kuwa mimi ni rais na naelewa siri nyingi za nchi hii" Na maisha yanasonga kama kawaida!
 
Kama zote wamewaachia wachina basi ndo mwanzo wa kuiua bandar ya DSM.

Nnavowajua wachina kwa ushindani, watashusha sn bei ya ushuru wa export na import.

Matokeo yake mizigo yote itapitia bagamoyo.

Mwisho wa siku mtarudi wenyewe hapa kulalamika.

Aisee viongoz wanatakiwa kuthink deep
 
Wacha uwongo wewe.
Bandari ya Dar haitoshi kukidhi mizigo ya Tz na nchi jirani kama Malawi, Zambia, Congo, Ruwanda na Birundi. Isitoshe Bagamoyo SEZ ni free port ambayo activities zake nyingi ni Export facilities.

Serikali imeshindwa kulipa mchango wake sababu wakati wa JK aliweza ku secure funds from Oman kwa ajili ya hiyo share lakini Magu kuingia madarakani ameharibu kila kitu

Kama JK aliweza kupata hizo fedha kutoka Oman si angezitumia sehemu ya fedha hizo kuwalipa fidia wakazi wa Bagamoyo?
 
Why is Tz share holding undisclosed? isije ikawa tutapa 0.001%

Ikiwa total value of the project ina julikana au inaweza kukadiriwa, kwa nini wahusika wasifanye hesabu ya sehemu ilikujua share holding yetu?
au ndio ilikuwa kama kwenyemikataba mingine ya share za Tz, kuwa nufaisha watu fulani?

Pale raisi Magufuli anaposema kwamba hii nchi ilifika pabaya anamaanisha mambo kama haya.
 
Kama JK aliweza kupata hizo fedha kutoka Oman si angezitumia sehemu ya fedha hizo kuwalipa fidia wakazi wa Bagamoyo?

Watanzania kweli ni wapumnbavu! Unajenga Bandari wakati Bagamoyo hakuna barabara wala Reli? Barabara ya kutoka Bagamoyo hadi Dar ni majanga ndiyo ilijengwa na imeshakufa Bombadier si imewekwa poni wakati Barabara ilijengwa hewa? Barabara ya Bagamoyo hadi Msata imejengwa kwa kiwango cha chini kabisa imeweekwa matuta kila baada ya kilometer 2-3 ni kero na ujkifika Msata Barabara ya Chalinze - Segera ni bomu ! How do you build a port without Reli? Yatakuwa kama Mtwara? And why do you require shares kwenye bandari? Simply establish a sustainable concession period and fees full stop? Mnafikiri kuwa na hisa it’s a big deal? Why take such incalculable risk? Serikali shouldn’t have stakes apart from exploit the multiplier effect pronto. Tatizo la Watanzania ni kukimbilia kununua PHD na watu ambao hata fedha za kula kesho kutwa hawana but they want to buy shares in companies eti to be part. Mind you there is a possibility of kugawana hata hasara something which common and can happen in any business ! Mikataba yote ya Kikwete ni ya kifisadi no doubt about that and JPM has confirmed severally na ndio his political capital but he won’t be able to attain any political mileage! Endeleeni kungojea kunywa maziwa ya KUKU!
 
Back
Top Bottom