game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Man, we don't need thieves in Tanzania, please try Nigeria.I swear I will change my Nationality to Tanzanian when that Port is complete.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man, we don't need thieves in Tanzania, please try Nigeria.I swear I will change my Nationality to Tanzanian when that Port is complete.
Man, we don't need thieves in Tanzania, please try Nigeria.
Hahaha, Povu la nini sasa, si mwenyewe umesema unataka Tz citizenship?I don't associate with satanic people. Bad mistake you are even replying to my post. Go find an Albino to do those demonic things. Hata Afadhali mkate ingezaliwa tule kuliko kitu kinaitwa mdanganyika
Hahaha, Povu la nini sasa, si mwenyewe umesema unataka Tz citizenship?
The masterplan for Bagamoyo special economic zone. Photo: EPZA Tanzania
Geza ulale umetuongopea
Tuta-
Geza Ulole et all, alafu mnasema Kenya inanadiwa kwa Mchina.Nasoma gazeti la leo la The Guardian front page "Chinese firm states new willingness to invest in Bagamoyo port project". Kuna para ambayo kidogo imenipa ukakasi na sijui wenzangu mmeielewa vizuri au ni mimi tu na macho yangu kumchuzi sijaielewa vizuri. Mwandishi anasema hii project ambayo ilishindwa kufikia mwafaka tangu 2013 kutokana na kutofikia mwafaka kati ya wabia watatu Oman, China na Tanzania (tanzania tulikuwa tupate shares fulani(sijui ngapi?) ila shurti tutafute $28 million ya kuwapa kifutia jasho wahanga wa maeneo yatakayochukulia kwenye mradi huo. Sasa mwandishi anasema Tanzania tuliweza kupata $1.5millioni tu kwa hiyo hatukuweza kupata fedha ya kuwapa wananchi 2,180 ambao wanatakiwa kupisha mradi huo. Sasa paliponishtua sana ni pale mwandishi aliposema baada ya ziara ya Waziri Mkuu hivi karibuni huko Uchina mradi wa Bagamoyo unaanza kujadiliwa tena (hapa sawa) , lakini kilichonitoa shimoni ni pale mwandishi anaposema kwa vile tumeshindwa tupata pesa ya kuwalipa wananchi kupisha mradi huo (yaani$28 - $1.5 = $$26.5 million) serikali yetu inaachilia shares zake kwenye mradi huo na tutakachopata ni kodi ya ardhi na ile kodi ya wawekezaji kutumia port yetu!! yaani kwa mtazamo wangu tutapata vijisenti. Inamaana wachina na wa-Omani wataitumia Port yetu sisi tutangaa macho na kutupiwa visenti. Sijui kama nimeielewa vizuri au nina maluelue hivi. Mwenye kuijua vizuri hii topic atuelimisha kwani kwa juu juu hivi haieleweki eleweki hasa kipindi hiki ambacho mambo mengi ya wachina yanatrend kwenye whatsapp jinsi wanavyonyanganya miradi mikubwa kama vile huko Zambia wamechukua shirika la umeme, wamechukua shirika la Habari, nasikia Kenya huko Mombasa Port yao inaenda kwa vile wakenya wameshindwa kulipa riba..; etc etc. Asanteni.
hujajibu hojaGeza Ulole et all, alafu mnasema Kenya inanadiwa kwa Mchina.
Mradi Ni PPP na utekelezaji ni kwa kandarasi ya B.O.T(Build operate Transfer)Nasoma gazeti la leo la The Guardian front page "Chinese firm states new willingness to invest in Bagamoyo port project". Kuna para ambayo kidogo imenipa ukakasi na sijui wenzangu mmeielewa vizuri au ni mimi tu na macho yangu kumchuzi sijaielewa vizuri. Mwandishi anasema hii project ambayo ilishindwa kufikia mwafaka tangu 2013 kutokana na kutofikia mwafaka kati ya wabia watatu Oman, China na Tanzania (tanzania tulikuwa tupate shares fulani(sijui ngapi?) ila shurti tutafute $28 million ya kuwapa kifutia jasho wahanga wa maeneo yatakayochukulia kwenye mradi huo. Sasa mwandishi anasema Tanzania tuliweza kupata $1.5millioni tu kwa hiyo hatukuweza kupata fedha ya kuwapa wananchi 2,180 ambao wanatakiwa kupisha mradi huo. Sasa paliponishtua sana ni pale mwandishi aliposema baada ya ziara ya Waziri Mkuu hivi karibuni huko Uchina mradi wa Bagamoyo unaanza kujadiliwa tena (hapa sawa) , lakini kilichonitoa shimoni ni pale mwandishi anaposema kwa vile tumeshindwa tupata pesa ya kuwalipa wananchi kupisha mradi huo (yaani$28 - $1.5 = $$26.5 million) serikali yetu inaachilia shares zake kwenye mradi huo na tutakachopata ni kodi ya ardhi na ile kodi ya wawekezaji kutumia port yetu!! yaani kwa mtazamo wangu tutapata vijisenti. Inamaana wachina na wa-Omani wataitumia Port yetu sisi tutangaa macho na kutupiwa visenti. Sijui kama nimeielewa vizuri au nina maluelue hivi. Mwenye kuijua vizuri hii topic atuelimisha kwani kwa juu juu hivi haieleweki eleweki hasa kipindi hiki ambacho mambo mengi ya wachina yanatrend kwenye whatsapp jinsi wanavyonyanganya miradi mikubwa kama vile huko Zambia wamechukua shirika la umeme, wamechukua shirika la Habari, nasikia Kenya huko Mombasa Port yao inaenda kwa vile wakenya wameshindwa kulipa riba..; etc etc. Asanteni.
What's the problem with that? The port is FDI just like any other!Geza Ulole et all, alafu mnasema Kenya inanadiwa kwa Mchina.
What's the problem with that? The port is FDI just like any other!
Akili timamu, i see your point. Asante kwa kunielimisha ndio maana nilihitaji ufafanuzi kwa waelewa kama nyingi.Mradi Ni PPP na utekelezaji ni kwa kandarasi ya B.O.T(Build operate Transfer)
Ilihitajika Tz itoe pesa fulani iliipate shares kiwango fulani kwa mradi huo. Lakini kwa mujibu wa kandarasi ilopo sasa baada ya JPM kusisitiza kwamba Mradi wote lazima baada ya miaka 99 irejeshwe share zote kwa GoT (B.O.T).
Kwa mtazamo wa kibiashara, hakuna haja ya kununua shares saa hii ilihali bado serikali itapata pesa za kodi ya bandari, na wawekezaji wapo tayari kumwaga hela ndefu kwa mradi uliopo Tz na utatoa ajira za aina nyingi kwa waTz. Na baada ya miaka kadhaa mradi wote unarudisha umiliki kwa GoT. Kuchulia kama Government insentive kwa investors..Kama vile JPM ametoa ardhi bure huko dodoma kwa mashirika na ubalozi wa nchi ambazo zitahamia dodoma.
Si kila siku Serikali inafaa imiliki biashara na viwanda nchini. JPM anajua balance kati ya socialism na capitalism
uandishi wa Guardian unaukakasi. Inamwacha msomaji kwenye mataa na masuala mengi yasiyo namajibu. Lack of investigative journalism on the writer's partAkili timamu, i see your point. Asante kwa kunielimisha ndio maana nilihitaji ufafanuzi kwa waelewa kama nyingi.
Mkuu PPP for 99 years hiyo ni kama life time, sisi sote tuliopo now hatatakuwepo wakati huo hata watoto watakaozaliwa mwezi ujao, unajua hata kwanini gvt inakupa ardhi 99 years?maana ni lifetimeMradi Ni PPP na utekelezaji ni kwa kandarasi ya B.O.T(Build operate Transfer)
Ilihitajika Tz itoe pesa fulani iliipate shares kiwango fulani kwa mradi huo. Lakini kwa mujibu wa kandarasi ilopo sasa baada ya JPM kusisitiza kwamba Mradi wote lazima baada ya miaka 99 irejeshwe share zote kwa GoT (B.O.T).
Kwa mtazamo wa kibiashara, hakuna haja ya kununua shares saa hii ilihali bado serikali itapata pesa za kodi ya bandari, na wawekezaji wapo tayari kumwaga hela ndefu kwa mradi uliopo Tz na utatoa ajira za aina nyingi kwa waTz. Na baada ya miaka kadhaa mradi wote unarudisha umiliki kwa GoT. Kuchulia kama Government insentive kwa investors..Kama vile JPM ametoa ardhi bure huko dodoma kwa mashirika na ubalozi wa nchi ambazo zitahamia dodoma.
Si kila siku Serikali inafaa imiliki biashara na viwanda nchini. JPM anajua balance kati ya socialism na capitalism