Bagamoyo port to start construction next month

Bagamoyo port to start construction next month

Hii bandari Mjomba Magu aliupitia mkataba wake? Wachina hawaaminiki kabisa..Kitu wanawafanyia Zambia hata mungu hapendi
 
BTW, you started this thread in June claiming construction would begin 'next month' which is July. It is September now and your next month is yet to arrive.😀😀😀

We would not like to see what happened in Monte Negro, Pakistani, Ceylon, Maldives and Djibouti and now Zambia to happen in Tanzania. Chinese have indirectly colonized or rather enslaved citizens of those countries for unprofitable projects in those countries. I bet the President will revisit other projects/constructions which were undertaken by that nation!wait and see!
 
Maana JPM alisitisha BagaMoyo kwa mda alipoingia ofisi ya Rais, Aliangalia Mikataba iliyokuwa imetiwa sahihi na kikwete akashtuka! Kandarasi ulikuwa kwamba Tz isipopata pesa zao za kuchangia kwenye mradi, BagaMoyo milele ingemilikiwa na waChina. Hapo ndipo JPM akawambia wachina yeye anataka iwe B.O.T ama sivyo heri atumie hiyo ardhi ya bagamoyo kuchungia mbuzi na ng'ombe zake

Marais (Presidents) of the caliber of Dr Magufuli ndo wanatakiwa kutawala Afrika, Rais mwenye uchungu na nchi yake, Rais ambaye anapenda taifa liendelee bila kunyonywa na mataifa yanayojifanya marafiki kumbe ni wanyongaji!!!
 
ndiyo maana kuna umuhimu wa kuweka mikataba ya wawekezaji peupeee for everyone to read. Hii mikataba inawahusu wananchi, ni ardhi yao, mali yao, why keep confidential? sasa hiyo 999 years ni wendawazimu.

Nilikuwa na nia ya kukueleza zaidi kuhusu ulichosoma kwenye Gazeti la Guradian ( ujumbe uliokuwa wa 2017 na ambao umepitwa na wakati) lakini nikaona yule Akili Pungwani ametega sikio lako nikasema baaas. Anayekuambia kuwa Kenya kuna lease ya 999 years ni Mwendawazimu. Katiba ya Kenya hairuhusu lease ya Zaidi ya 99 years Kwa mtu yeyote ambaye si mkenya wala si Kampuni ya Kenya. Anayekuambia kuwa JK alikuwa na mkataba ambao ungemilikisha China Banadari ya Bagamoyo milele na milele, ni Kichaa. Yaani Rais kichaa, mwananchi kichaa. Mtapata taabu sana.
 
Hii next month haifiki? Basi hii thread ifungwe iwache kudanganya watu. Mods fungeni haka kathread. This is a very useless thread .
 
From a very reliable source (Chinese) The fund have been allocated and The project is well underway . In short initial construction activities have started .
 
Hii next month haifiki? Basi hii thread ifungwe iwache kudanganya watu. Mods fungeni haka kathread. This is a very useless thread .
Wait for a shock of ur life! Huku SGR Kenya financing is wanting while Uganda n Rwanda have a change of heart to be openly confirmed with SGR Tanzania third phase launch, kule Lamu port has managed to get less than $100 mln so far!
 
Wait for a shock of ur life! Huku SGR Kenya financing is wanting while Uganda n Rwanda have a change of heart to be openly confirmed with SGR Tanzania third phase launch, kule Lamu port has managed to get less than $100 mln so far!

Relevance iko wapi? Bagamoyo port is a non-starter
 
Next Century........ There is no Bagamoyo. What is there is small small improvements on the existing limping Dar Port.
 
Back
Top Bottom