Bagamoyo port to start construction next month

Bagamoyo port to start construction next month

uandishi wa Guardian unaukakasi. Inamwacha msomaji kwenye mataa na masuala mengi yasiyo namajibu. Lack of investigative journalism on the writer's part
Maana JPM alisitisha BagaMoyo kwa mda alipoingia ofisi ya Rais, Aliangalia Mikataba iliyokuwa imetiwa sahihi na kikwete akashtuka! Kandarasi ulikuwa kwamba Tz isipopata pesa zao za kuchangia kwenye mradi, BagaMoyo milele ingemilikiwa na waChina. Hapo ndipo JPM akawambia wachina yeye anataka iwe B.O.T ama sivyo heri atumie hiyo ardhi ya bagamoyo kuchungia mbuzi na ng'ombe zake
 
uandishi wa Guardian unaukakasi. Inamwacha msomaji kwenye mataa na masuala mengi yasiyo namajibu. Lack of investigative journalism on the writer's part
Maana JPM alisitisha BagaMoyo kwa mda alipoingia ofisi ya Rais, Aliangalia Mikataba iliyokuwa imetiwa sahihi na kikwete akashtuka! Kandarasi ulikuwa kwamba Tz isipopata pesa zao za kuchangia kwenye mradi, BagaMoyo milele ingemilikiwa na waChina. Hapo ndipo JPM akawambia wachina yeye anataka iwe B.O.T ama sivyo heri atumie hiyo ardhi ya bagamoyo kuchungia mbuzi na ng'ombe zake
 
Mkuu PPP for 99 years hiyo ni kama life time, sisi sote tuliopo now hatatakuwepo wakati huo hata watoto watakaozaliwa mwezi ujao, unajua hata kwanini gvt inakupa ardhi 99 years?maana ni lifetime

I think it is high time mikataba kama hii iwe wazi- iwekwe on line ili wananchi wajue na washirikishwe. Mikataba hiyo pia itafsiriwe kwa kiswahili.
 
Maana JPM alisitisha BagaMoyo kwa mda alipoingia ofisi ya Rais, Aliangalia Mikataba iliyokuwa imetiwa sahihi na kikwete akashtuka! Kandarasi ulikuwa kwamba Tz isipopata pesa zao za kuchangia kwenye mradi, BagaMoyo milele ingemilikiwa na waChina. Hapo ndipo JPM akawambia wachina yeye anataka iwe B.O.T ama sivyo heri atumie hiyo ardhi ya bagamoyo kuchungia mbuzi na ng'ombe zake
ndio maana naona hiyo mikataba iwekwe wazi wananchi waione mchana kweupeeeee
 
Mkuu PPP for 99 years hiyo ni kama life time, sisi sote tuliopo now hatatakuwepo wakati huo hata watoto watakaozaliwa mwezi ujao, unajua hata kwanini gvt inakupa ardhi 99 years?maana ni lifetime
Hakuna muwekezaji ambaye anaweza kuchukuwa lease ya less than 99 years..Hii ndiyo minimum. Ukikuja kenya utashangaa kuona serikali imewapatia mabeberu ambao hata hawatumii ardhi kwa maendeleo lease ya 999 years!
 
Hakuna muwekezaji ambaye anaweza kuchukuwa lease ya less than 99 years..Hii ndiyo minimum. Ukikuja kenya utashangaa kuona serikali imewapatia mabeberu ambao hata hawatumii ardhi kwa maendeleo lease ya 999 years!
ndiyo maana kuna umuhimu wa kuweka mikataba ya wawekezaji peupeee for everyone to read. Hii mikataba inawahusu wananchi, ni ardhi yao, mali yao, why keep confidential? sasa hiyo 999 years ni wendawazimu.
 
CCM ya kikwete sio ya JPM, Wakuu wote wa Serikalini waliofanya na kikwete wengi wameondolewa na waliobaki wapo njiani kuondolewa
haitoshi kuondolewa, huku wanaendelea kula kuku kwa mrija. wafilisiwe kinamna. Amtume Diwani kwa mtu mmoja mmoja achukue kilicho chetu. JPM ana nia nzuri lakini ulafi wa watu wachache unatia kichefuchefu.
 
Mkuu PPP for 99 years hiyo ni kama life time, sisi sote tuliopo now hatatakuwepo wakati huo hata watoto watakaozaliwa mwezi ujao, unajua hata kwanini gvt inakupa ardhi 99 years?maana ni lifetime
99 years siyo life time ni 99years simple and clear. Hiyo hoja ya life time umeitoa wapi. Ukisema hauto kuwepo una kosea sana. Mikopo tunatokopa mingi ina enda kulipwa na vizazi vijavyo. Nyerere aliacha madini akisema yata chimbwa na vizazi vijavyo angewaza kama wewe tungekuta mashimo. Rail inajengwa kwa matumizi ya miaka zaidi ya 100 ijayo ila baadhi ya phases zinajengwa kwa kodi za sasa. Ata kama transfer ingekua baada ya miaka 5 kuna baadhi ambao wapo hai sasa hivi hawata kuwepo, na maraisi wetu ambao wana kuaga na 55yrs + wasingekua wana sign mikataba kwa sababu mingi ina enda mbele kwenye miaka ambayo hawata kua hai. Hiyo miaka ni kawaida sana kwa miradi kama hiyo.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nasoma gazeti la leo la The Guardian front page "Chinese firm states new willingness to invest in Bagamoyo port project". Kuna para ambayo kidogo imenipa ukakasi na sijui wenzangu mmeielewa vizuri au ni mimi tu na macho yangu kumchuzi sijaielewa vizuri. Mwandishi anasema hii project ambayo ilishindwa kufikia mwafaka tangu 2013 kutokana na kutofikia mwafaka kati ya wabia watatu Oman, China na Tanzania (tanzania tulikuwa tupate shares fulani(sijui ngapi?) ila shurti tutafute $28 million ya kuwapa kifutia jasho wahanga wa maeneo yatakayochukulia kwenye mradi huo. Sasa mwandishi anasema Tanzania tuliweza kupata $1.5millioni tu kwa hiyo hatukuweza kupata fedha ya kuwapa wananchi 2,180 ambao wanatakiwa kupisha mradi huo. Sasa paliponishtua sana ni pale mwandishi aliposema baada ya ziara ya Waziri Mkuu hivi karibuni huko Uchina mradi wa Bagamoyo unaanza kujadiliwa tena (hapa sawa) , lakini kilichonitoa shimoni ni pale mwandishi anaposema kwa vile tumeshindwa tupata pesa ya kuwalipa wananchi kupisha mradi huo (yaani$28 - $1.5 = $$26.5 million) serikali yetu inaachilia shares zake kwenye mradi huo na tutakachopata ni kodi ya ardhi na ile kodi ya wawekezaji kutumia port yetu!! yaani kwa mtazamo wangu tutapata vijisenti. Inamaana wachina na wa-Omani wataitumia Port yetu sisi tutangaa macho na kutupiwa visenti. Sijui kama nimeielewa vizuri au nina maluelue hivi. Mwenye kuijua vizuri hii topic atuelimisha kwani kwa juu juu hivi haieleweki eleweki hasa kipindi hiki ambacho mambo mengi ya wachina yanatrend kwenye whatsapp jinsi wanavyonyanganya miradi mikubwa kama vile huko Zambia wamechukua shirika la umeme, wamechukua shirika la Habari, nasikia Kenya huko Mombasa Port yao inaenda kwa vile wakenya wameshindwa kulipa riba..; etc etc. Asanteni.

please kama unaweza kutupia hilo gazeti.
 
please kama unaweza kutupia hilo gazeti.
tafuta gazeti la Jumatatu The Guardian 17th September, 2018. Ukurasa wa kwanza unaosema:
Chinese firm states new willingness to invest in Bagamoyo port project, story inaendelea na ukurasa wa pili pia.
jaribu kutafuta The Gurdian kwenye mtandao unapata story
 
please kama unaweza kutupia hilo gazeti.

Chinese firm states new ‘willingness’ to invest Bagamoyo port project
ippmedia.com/en/news/chinese-firm-states-new-‘willingness’-invest-bagamoyo-port-project

September 17, 2018
The project stalled several years ago after the government and the Chinese company failed to agree on certain contractual terms. But it has now emerged that after a recent discussion with Prime Minister Kassim Majaliwa, both parties agreed to renew talks for a new commitment towards implementing the project.

According to CMHI managing director Hu Jianhua, the project represents a high risk for Chinese investors, but the company is “willing to work together with the government and people of Tanzania to build the Bagamoyo Special Economic Zone.”

He made the remarks during a meeting with a Tanzanian government delegation led by premier Majaliwa in Beijing recently. Officials from the Chinese government were also present at the meeting.

On his part, Majaliwa said the government is still open to further discussions with potential BSZ project partners, describing the project as being important for Tanzania’s continuing economic growth and a possible example for the entire continent to follow once completed.

He directed relevant government authorities to get down to serious talks with CMHI as well as another partner from Oman. “This may help us all reach a conclusion that would allow the project start as soon as possible,” he added.

Initial reports had it that financial constraints had forced Tanzania to miss out on full ownership of the $10 billion project.

Under a three-way partnership deal signed with Oman and China in 2013, Tanzania was to get an undisclosed shareholding in the project by dint of raising $28 million for compensating landowners who were to be displaced.

But the government managed to raise only $1.5 million, enough to compensate only a few of the 2,180 registered residents of the area earmarked for the project. Other owners of large tracts of land in the area did not reside there, and had therefore yet to be registered as compensation beneficiaries.

With other parties having expressed anxiety about losing business opportunities envisaged from the project, the government was reported to have opened negotiations with the investment partners for them to fund the compensation of the remaining land owners.

In turn, the government would forego an equity stake in the project and only benefit from taxes on the land and occupancy by the investors.

CMHI is understood to be ready to raise money for the compensation, and said that the company would run Bagamoyo as one of its overseas ports.

“We did not abandon this project. We were waiting to compensate the people whose land was taken for development of various business programmes,” said the company MD said during his meeting with Majaliwa in Beijing.

He described the Bagamoyo SEZ project as part of CMHI’s global investment portfolio which in Africa already includes Kenya, Ethiopia, Togo, Nigeria, and Djibouti.

The Bagamoyo project framework agreement was signed on March 24, 2013. The envisaged port and affiliate industrial zone are meant to address congestion at the old port and support Tanzania in becoming East Africa’s leading shipping and logistics centre.

The port is located about 75 kilometres from Dar es Salaam and 10 kilometres from Bagamoyo town. About 190 industries have been marked for development within the SEZ which, once fully developed, is expected to attract about 700 industries and become a strategic investment zone in East Africa.

Among projects envisaged for the zone are industrial parks worth $120 million, a $70 million tourism park, free port facilities ($ 90 million), a free trade zone ($70 million), science and technology parks ($ 50 million), an international business centre ($70 million), and industrial sheds costing $20 million.
 
REVIVAL OPPORTUNITY FOR BAGAMOYO PROJECT
carousel2.jpg
The Bagamoyo Port and Special Zone project in Tanzania will be reviewed. Credit: Google Maps

INDUSTRY DATABASE

CHINA MERCHANTS HOLDINGS

Port management firm China Merchants Holdings International (CHMI) has expressed its interest in reviving the Bagamoyo Port and Special Zone project in Tanzania.

The project, initially introduced in 2013, was halted several years ago after the Tanzanian government and CHMI were not able to agree on some of the contractual terms of the project but IPP Media has reported that after a recent discussion with Tanzania’s Prime Minister Kassim Majaliwa, an agreement has been made to review what could be done to implement the project.

IPP Media said that according to CHMI managing director Hua Jianhua, the project represents a high risk for Chinese investors but the company is “willing to work together with the government and people of Tanzania to build the Bagamoyo Special Economic Zone.”

Open to discussion
Mr Jianhua commented on the project during a meeting with a Tanzanian government delegation led by Mr Majaliwa in Beijing recently.

Mr Majaliwa said the government is still open to discussion with potential project partners. He described the project as being important for Tanzania’s economic growth and directed government authorities to begin talks with CMHI and another partner from Oman. “This may help us all reach a conclusion that would allow the project start as soon as possible,” he said.

The project was allegedly delayed due to a lack of available finances to compensate residents displaced by the land earmarked for the project.

Port Strategy | Revival opportunity for Bagamoyo project
 
Kwani next month tangu june haijafika ama Watanzania wanatumia ile Calendar ya Ethiopia?
 
Perhaps the title should change to "Bagamoyo Port Nearing Completion"
 
Hakuna mradi utakaosimamiwa na hawa watoa makafara ukaifaidisha nchi.
Believe or not.
 
Back
Top Bottom