Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

ni kama Hassanali nae alikua na mwili kama huo akafanyiwa operesheni nusu afe ila now anarudia ubonge tena
 
Hapa alivyokuwa mwanzo.
pg%2Bkweka.jpg


Hapa ndivyo alivyo.
1483124_671770252843923_399033784_n.jpg

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Mapenzi Sheeda Pesa ndio Kabisa #waalade
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Hiyo dawa inapunguza hadi unene wa fuvu la kichwa?
 
mshikaji huwa anasumbuliwa na kisukari so yawezekana ndo outcome yake na sio kwamba kajikondesha

Sio kweli amesema mwenyewe kuwa ametumia dawa za kujikondesha maana hule mwili ulikuwa una msumbua sana.
 
Dah namkubali sn jamaa lkn kapungua sn hadi kawa km sio yy
 
duh ila huku kupungua hapana aiseee. ukavu ulee khaah
 
Baghdad ni moja ya talents nilizoamini zitafika mbali ila sijui imekuwaje...Uyu dogo anachana sana yani anaweza kuchana ata siku nzima.. Nasikitika ndio ashafubaa,ni kama One the incredible kipaji international level kaishia kudanganywa na wanaharakati.
 
Baghdad ni moja ya talents nilizoamini zitafika mbali ila sijui imekuwaje...Uyu dogo anachana sana yani anaweza kuchana ata siku nzima.. Nasikitika ndio ashafubaa,ni kama One the incredible kipaji international level kaishia kudanganywa na wanaharakati.

Anachana nini mkuu, makaratasi au?
 
Dah mwenye namba yake anitumie na me nina mdogo wangu anatatizo la kisukari kama yy alafu anazidi kufumka tu...

kwenye amsha amsha wenzake wanakunywa bia yeye anakunywa crate 1 na nusu la soda.
ila alicontrol ikaisha kabisa
 
bonge moja la ngoma hilo!....ila jamaa kapungua sana yaani ule ubonge ulikuwa ndo identity ya baghdad kama vipi abadilishe jina!

Trak ilikuwa noma ile baghadad ni noma kuna trak yake inaitwa "Hiphop imesimama" na yenyewe ni sheeddddaaaa,Na- suggest aitwe Somalia.
 
Back
Top Bottom