Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
ni kama Hassanali nae alikua na mwili kama huo akafanyiwa operesheni nusu afe ila now anarudia ubonge tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kama Hassanali nae alikua na mwili kama huo akafanyiwa operesheni nusu afe ila now anarudia ubonge tena
Kisukari kisikie tuuu....nimeshuhudia kwa watu wangu wa karibu....
Hapa alivyokuwa mwanzo.
![]()
Hapa ndivyo alivyo.
![]()
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Mapenzi Sheeda Pesa ndio Kabisa #waalade
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Dah mwenye namba yake anitumie na me nina mdogo wangu anatatizo la kisukari kama yy alafu anazidi kufumka tu...
Mbona kama watu wawili tofautii
mshikaji huwa anasumbuliwa na kisukari so yawezekana ndo outcome yake na sio kwamba kajikondesha
hata mie naona ni watu wawili tofauti...
Nini baghdad mcheki dodoma utampenda
Baghdad ni moja ya talents nilizoamini zitafika mbali ila sijui imekuwaje...Uyu dogo anachana sana yani anaweza kuchana ata siku nzima.. Nasikitika ndio ashafubaa,ni kama One the incredible kipaji international level kaishia kudanganywa na wanaharakati.
Mexicana Lakavela Kamba to Kamba.
bonge moja la ngoma hilo!....ila jamaa kapungua sana yaani ule ubonge ulikuwa ndo identity ya baghdad kama vipi abadilishe jina!
Dah mwenye namba yake anitumie na me nina mdogo wangu anatatizo la kisukari kama yy alafu anazidi kufumka tu...
mwenyewe nilishangaa sana nilivyomuona eatv kuna siku walimuonesha
bonge moja la ngoma hilo!....ila jamaa kapungua sana yaani ule ubonge ulikuwa ndo identity ya baghdad kama vipi abadilishe jina!