Bagia za dengu maziwa na mayai

We jamaa unaenjoy sana kupika na kula unachotaka.

Mimi nikiwaza kupika kinachokuja akilini ni ugali, wali, viazi hapo niwaze mboga sasa ambayo kwakweli sipati jibu la kuridhisha, akili inawaza mboga za ajabu ajabu tu au zinazochukua muda mrefu.

Nisipopata jawabu basi naenda kwa mama ntilie anisaidie majibu siku iishe tu.
 
Inategemeana na muda pia nahisi siku nikiwa bise sana kuna mambo naona nitshindwa kufanya kabisa
 
πŸ˜‹πŸ˜‹.....Mkate wa kumimina please
 
Mkuu umeoa?? Kama bado vipi ukioa mke asiejua kupika, ulishawahi kuwaza hilo??
Sijaoa ila chuo nilishawai kuwa na girlfriend ambaye hajui kupika nilikuwa sishibia nakula kumlidhisha tu ikawa akisema anakuja. Anakuta nishapika kazi yek inakuw kuosha vyombo na usafi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…