Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
we Shiba lkn ujue 😂😂acha nishibe ase
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we Shiba lkn ujue 😂😂acha nishibe ase
Ndio ulijua zinapikwaje?Kumbe kuna Unga wa Bagia aisee.
Jombaa acha izoUtengwe😂
Mkuu nakumbuka mara ya mwisho ulisema ngoja uniignore nikaona umefanya busara lakini ukufanya ivyo naona matusi kama haya sio vyema kutukana kwa mtu usie mjua kama uwezi basi jitahidi ata kidogo kuchunga kinywa kisitoe matusiSamahani mkuu, umeolewa...🤔
Mh noma kusema, Unatokana na Nini?Ndio ulijua zinapikwaje?
Inategemeana na muda pia nahisi siku nikiwa bise sana kuna mambo naona nitshindwa kufanya kabisaWe jamaa unaenjoy sana kupika na kula unachotaka.
Mimi nikiwaza kupika kinachokuja akilini ni ugali, wali, viazi hapo niwaze mboga sasa ambayo kwakweli sipati jibu la kuridhisha, akili inawaza mboga za ajabu ajabu tu au zinazochukua muda mrefu.
Nisipopata jawabu basi naenda kwa mama ntilie anisaidie majibu siku iishe tu.
Sema mkuu tucheke kidogoMh noma kusema, Unatokana na Nini?
😋😋.....Mkate wa kumimina pleaseephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa
Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha
Nikawa nawaza chakula jion nikaona bagia kivile ni nyepesi kupika basi nipike
Nikaandaa karoti na hoho
View attachment 3239436
Kisha nikachukua unga wa bagia nikaweks kwenye chombo
View attachment 3239441
Baada ya hapo nukaweka karoti na hoho na kuchanga vizuri
View attachment 3239445
Kisha weka maji kidogo kidogo uji wako hakikisha uji wako haui mzito sana wala mwepesi sana kama hivi
View attachment 3239449
Kisha weka kwenye mafuta tia kidogo kidogo mimi nilitumia kijiko wengine wanatumia mkono kuweka kwenye mafuta moto weka mdogo kabisa ziive pole pole
View attachment 3239453
Baada ya hapo nikachemsha maziwa na mayai sehemu mbilintofauti now nakula karibu
View attachment 3239455
Ulie omba mkate wa mchele kesho nitakupikia muda kesho ninao wakutosha kabisa ila Mama Mwana mkate wako unao utaka ule mgumu kidogo na ugumu unakuja pale jinsi ya kuuoka pia hakuna walaji hapa kwangu
Mkuu umeoa?? Kama bado vipi ukioa mke asiejua kupika, ulishawahi kuwaza hilo??Inategemeana na muda pia nahisi siku nikiwa bise sana kuna mambo naona nitshindwa kufanya kabisa
Hapana mkuu, mimi nimeuliza kwa nia njema tu...🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂Vita Hii Unayoileta
Unataka Kusema Nini Ama Kama Aziz Alivyochukua
Sijaoa ila chuo nilishawai kuwa na girlfriend ambaye hajui kupika nilikuwa sishibia nakula kumlidhisha tu ikawa akisema anakuja. Anakuta nishapika kazi yek inakuw kuosha vyombo na usafi basiMkuu umeoa?? Kama bado vipi ukioa mke asiejua kupika, ulishawahi kuwaza hilo??
Nimepona mkuu, ndio maana namzengea huyu binti hapa..😜😂😂😂😂😂
Classmate umepona ?
Sawa Ila Wenye Akili WanajuaHapana mkuu, mimi nimeuliza kwa nia njema tu...🤣
Samahani sana mkuu...🙏Mkuu nakumbuka mara ya mwisho ulisema ngoja uniignore nikaona umefanya busara lakini ukufanya ivyo naona matusi kama haya sio vyema kutukana kwa mtu usie mjua kama uwezi basi jitahidi ata kidogo kuchunga kinywa kisitoe matusi
Wewe Haa Una Shari Sana Hapa Mkuu Vumbi LitatimkaNimepona mkuu, ndio maana namzengea huyu binti hapa..😜
Anajituma jikoni hasa, mashallahSamahani mkuu, umeolewa...🤔
Potezea tusikwazane sijawai kukuvunjia heshima mkuuSamahani sana mkuu...🙏
Sikua nimejua jinsia yako mkuu..
DaahhhhSawa Ila Wenye Akili Wanajua